Hahah...na imagine eti Kasinde kanuna, siku hiyo lile sanamu la Samora pale litavua kofiaNimekununia ukiona hivyo...π
Chokoleti uliigawa....πππ
Dah!!!Wewe hutokufa hadi crush yetu ya kuanzia maktaba Posta hadi Namanga ijirudie ππ
Nissan Patrol lazima ihusike πππ
1. Hahah...na imagine eti Kasinde kanuna, siku hiyo lile sanamu la Samora pale litavua kofia
2. Halafu unajua ile chokoleti niliitafuna mwenyewe baada ya kuona kuna mtu anataka hadi Yesu arudi akalie chokoleti yake paradiso
Dah!!!
Tell you what, ujue nimekuwa kama mdogo wake lemutuz kwa mwili aiseee!!
Kaka samahani kidogo kuna kitu kinanitatiza,najua engine huwa inapitia sehemu nne ili kukamilisha mzunguko mmoja ambapo sehemu hizo ni intake,compression,combustion pamoja na exhaust.G-Wagon
Nimekubali mkuu. Tuta 2 tu karibu ya Nzega mjini, hakuna shimo wala hatari yoyote.kipande kingine piga Nzega pale hadi Tabora mjini, barabara haina tuta.. na haina magari mengi, unafunguka tuu
Unaelekea kaskazini ama magharibi mkuu?Limazamia hukuView attachment 1771316
ππππ hicho kipande kitamu sanaNimekubali mkuu. Tuta 2 tu karibu ya Nzega mjini, hakuna shimo wala hatari yoyote.
Hapa mshale umelala hauna tena pa kwenda, ishagonga limiter at 180kmph ila barabara bado inaita, nipo kama halfway kati ya Tabora na Nzega.
Sometime namlaani mjapani ila sometime namshukuru kwa kutulimit, its bittersweet
View attachment 1771284
Leo napiga cha vumbi... nna km90 za barabara hii, mpaka 120 naenda[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hicho kipande kitamu sana
imenyooka, mie naanz route jumatatu za hatari
Ina adrenaline kama rally, vumbi ninaloacha huko nyuma si mchezo!Nice view.
120 KPH ya kwenye rough road ni nowma!! Ni sawa na 150KPH kwenye lami kimuonekano wa ukimbiaji.
-Kaveli-
Umemaliza mkuu.Nguvu ya umeme kutoka kwenye starter motor ambapo huzungusha Engine kwa mara ya kwanza ili iwake...
Nguvu ya mwendokasi kutoka kwenye mfumo wa upeleshi (propelling system) hadi kwenye gear box na kuifikia crankshaft kupitia mfumo wa clutch, kama gari inasukumwa...
Piston ya kwanza ikishapata power, kwakuwa kuna mpishano maalumu kwenye hizo piston, piston itakayofuata kwa mujibu wa firing order itapata power na kuzungusha crankshaft na hatimaye kupata mzunguko kamili.
RRONDO atakuja kukujibu kitaalam zaidi maana nimetumia uzoefu wa 'shule ya zamani'