Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo?Amen
Ila kuna watu wanapendwa aisee. Wengine tukipoteaga hata mwaka hakuna anayetuulizia hapa dah! Halafu huyu mwamba anauliziwa na mabinti tupu...na hata taarifa za usalama wake zimeletwa na binti. Kuna la kujifunza hapa wallahi. RRONDO, I salute you bro [emoji122][emoji122][emoji122]
I'm back Chakorii was off for a while to recharge...thanks for being considerate😃😃😃mama mchungaji bhana...
Kwenye ule uzi tulikuwa wanne karma alikuwa ni watatu ama wa nne😄😄
Nilipoanza kufuatilia comments za juu kabla sijaiona comment yako uliyosema yuko salama...wallah tumbo la mchango lilinikata nikahisi kama kuna kiwembe kimepita tumboni chwaaaaaaa😔😔
Habari nzuri kutoka kwako imeufariji moyo wangu...Hallelujah.
I'm back Kasie . And stronger than ever!Acha ibaki hivyo hivyo anonymous kuwa tunajuana nje ya JF wakati habari zetu hatufahamiani.....
Nashindwa kukiri hapa, najali sana maisha binafsi (faragha) ya mtu.
Ila bado nasihi sana atokee hapa aseme yuko salama.
Mungu amlinde huko aliko, 🙏.
Braza nani alikwiba iphone yetu mzeeHa ha ha mwambaaa...
Thanks brother...nipo salama salimini. Nilipumzika tu kidogo.Nikiri tuu mtu namba moja humu ninayempenda kupita maelezo ni RRONDO as brother kwa jinsi anavyojiheshimu na alivyo na mexposure. Sasa nilipoona kapotea nikamview profile yake ikawa last seen ya muda mrefu na comment yake ya mwisho ikazidi kunistua labda wasiojulikana wamemtafuta nini. Then ijumaa tena inaonyesha aliingia jamii forum but hakuchangia chochote. Kuhusu kumfananaisha na Msuya sio Msuya, Msuya ni kijana mdogo halafu ni Mpare wakati Rrondo kwa kupitia comments zake ni mkubwa mkubwa. Kwahiyo Rrondo hajafa sema tuu atakua ametingwa na majukumu yake
Ukiwa na trip ya huko nichek ntakupa ya mafutaHivi kutoka dar to arusha usiku na kurudi pia usiku. Hua mnapata vichwa/abiria njiani? Kama ndio ni maeneo gani? Check points zipi wanakagua kagua sana usiku kwa njia hiyo kupitia bagamoyo?
nimejifunzaNilipumzika tu. Huwa natumia simu za kawaida ikiibwa asubuhi nanunua mchana! Mambo ya kutumia simu ikiibwa unapata ugonjwa wa moyo nilishaacha zamani sana.
Ubarikiwe ma'am
Niko salama salimini Karma thanks again for caring.Yeah kikubwa ajitokeze tufahamu tu kama yuko salama! Ni wengi sana wamepotea jf kwa sasa ila huwa tunawakumbuka na kuwaulizia wale ambao tunawakubali au wale ambao tumezoea sana kuona michango yao humu!
mpaka niliulizia msiba ulipo nije jamanShaka ondoa, hata ID ya Watu8 ishawahi zushiwa kifo na uzi juu...kisa tu haikuwepo hewani kwa miaka
Nikiingia barabara ya vumbi nakosa amani kabisa. Sedan Raha kwenye lami tuIna adrenaline kama rally, vumbi ninaloacha huko nyuma si mchezo!
Its exciting unafeel kabisa one misstep unaingia porini. Rear end ikisweep huku haushiki brake kugain control bali unacheza na power na steering tu. Brakes will kill you.
It was interestingn nisharudi kwenye lami.
Hahaha sema uliposepa tuligundua tofauti yako na Tupac ni kuimba tu 😂😂😂 akina mwaisa wanakukubali sana braza!!!Nilipumzika tu. Huwa natumia simu za kawaida ikiibwa asubuhi nanunua mchana! Mambo ya kutumia simu ikiibwa unapata ugonjwa wa moyo nilishaacha zamani sana.
Yote hayo ni kuishi na watu vizuri tuHahaha sema uliposepa tuligundua tofauti yako na Tupac ni kuimba tu 😂😂😂 akina mwaisa wanakukubali sana braza!!!
Kunae mrembo anama feeling kinyama ila ndio vile tena anagwaya kujipeleka kibla. Huko alipo atakuwa anapiga Pepsi Bigi kukuona umekomenti hapa😂
shukrani,bado nasubiri ahadi zakoPole best