Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Amen

Ila kuna watu wanapendwa aisee. Wengine tukipoteaga hata mwaka hakuna anayetuulizia hapa dah! Halafu huyu mwamba anauliziwa na mabinti tupu...na hata taarifa za usalama wake zimeletwa na binti. Kuna la kujifunza hapa wallahi. RRONDO, I salute you bro [emoji122][emoji122][emoji122]
Mkuu upo?
 
😃😃😃mama mchungaji bhana...

Kwenye ule uzi tulikuwa wanne karma alikuwa ni watatu ama wa nne😄😄

Nilipoanza kufuatilia comments za juu kabla sijaiona comment yako uliyosema yuko salama...wallah tumbo la mchango lilinikata nikahisi kama kuna kiwembe kimepita tumboni chwaaaaaaa😔😔

Habari nzuri kutoka kwako imeufariji moyo wangu...Hallelujah.
I'm back Chakorii was off for a while to recharge...thanks for being considerate
 
Nikiri tuu mtu namba moja humu ninayempenda kupita maelezo ni RRONDO as brother kwa jinsi anavyojiheshimu na alivyo na mexposure. Sasa nilipoona kapotea nikamview profile yake ikawa last seen ya muda mrefu na comment yake ya mwisho ikazidi kunistua labda wasiojulikana wamemtafuta nini. Then ijumaa tena inaonyesha aliingia jamii forum but hakuchangia chochote. Kuhusu kumfananaisha na Msuya sio Msuya, Msuya ni kijana mdogo halafu ni Mpare wakati Rrondo kwa kupitia comments zake ni mkubwa mkubwa. Kwahiyo Rrondo hajafa sema tuu atakua ametingwa na majukumu yake
Thanks brother...nipo salama salimini. Nilipumzika tu kidogo.
 
Jamani Karma na wale crushes wengine, marafiki wa dhati, washikaji na wapendwa wote wa RRONDO; kwa heshima na taadhima ameniomba niwaambie kuwa yeye yupo salama salmini, hana tatizo lolote kabisa. Isipokuwa tu atakuwa nje ya Jf for a month ila atarudi. Ameshukuru pia kwa upendo wenu
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
Ubarikiwe ma'am
Yeah kikubwa ajitokeze tufahamu tu kama yuko salama! Ni wengi sana wamepotea jf kwa sasa ila huwa tunawakumbuka na kuwaulizia wale ambao tunawakubali au wale ambao tumezoea sana kuona michango yao humu!
Niko salama salimini Karma thanks again for caring.
 
Ina adrenaline kama rally, vumbi ninaloacha huko nyuma si mchezo!

Its exciting unafeel kabisa one misstep unaingia porini. Rear end ikisweep huku haushiki brake kugain control bali unacheza na power na steering tu. Brakes will kill you.

It was interestingn nisharudi kwenye lami.
Nikiingia barabara ya vumbi nakosa amani kabisa. Sedan Raha kwenye lami tu
 
Nilipumzika tu. Huwa natumia simu za kawaida ikiibwa asubuhi nanunua mchana! Mambo ya kutumia simu ikiibwa unapata ugonjwa wa moyo nilishaacha zamani sana.
Hahaha sema uliposepa tuligundua tofauti yako na Tupac ni kuimba tu 😂😂😂 akina mwaisa wanakukubali sana braza!!!

Kunae mrembo anama feeling kinyama ila ndio vile tena anagwaya kujipeleka kibla. Huko alipo atakuwa anapiga Pepsi Bigi kukuona umekomenti hapa😂
 
Hahaha sema uliposepa tuligundua tofauti yako na Tupac ni kuimba tu 😂😂😂 akina mwaisa wanakukubali sana braza!!!

Kunae mrembo anama feeling kinyama ila ndio vile tena anagwaya kujipeleka kibla. Huko alipo atakuwa anapiga Pepsi Bigi kukuona umekomenti hapa😂
Yote hayo ni kuishi na watu vizuri tu
 
Back
Top Bottom