Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hahah...na imagine eti Kasinde kanuna, siku hiyo lile sanamu la Samora pale litavua kofiaNimekununia ukiona hivyo...😅
Chokoleti uliigawa....😞😞😞
Halafu unajua ile chokoleti niliitafuna mwenyewe baada ya kuona kuna mtu anataka hadi Yesu arudi akalie chokoleti yake paradiso