Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Unamwonyesha who is boss kisha unamtakia safari njema
 
Alinipita wilayani Mwanga nilipumzika Kama nusu saa hivi ndo alinipita hapo, ila barabara ya dar to Arusha Ina ligi Sana, pale Mwanga nilifukuzana na crown athletic na Ford escape ilikua hatari Sana.crown athletic ni gari matata Sana ile.
Wanaosema wakiendesha passo wanailaza crown chini wanaichukulia poa sana
 
I'm back Kasie . And stronger than ever!

Mabungo 3
Sanvita 2, moja orange nyingine blackcurrent.
Ya orange iwe imeganda, ya blackcurrent iwe imeyeyuka.
Usisahau pilipili ya mabungo.

Kuna mtu kanizuia nisikupe busu la ukaribisho kutoka mafichoni. Ila sababu mie ni mbishi, nalitoa tuu.....

Mmuuuahhh...!!!

(Ukajibu maswali ya Bataringaya, kila mara alikuwa anauliza ...”papi Baba Bataringaya...!!?”).
 
View attachment 1774011
50KPHZone
Barabara ina shawishi kwa weupe wake ila mguu ukiwa mzito tuu wapo mbele wanakusubiri

Romantic Picture 🥰🥰

Hayo matone ya mvua, akili imepeleka taswira sehemu 2....

1. Goose pimples baada ya kuguswa maeneo na bae.....😜

2. The duts.... yenye vidutu sijui vidoti...
Ile zinakaaga 3 kwenye pakti moja....😅

The car cleanness imeongeza u romantic...., I bet inanukia strawberry au lemon 🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…