Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nyuma ya Pride of Kigoma #Road Trip
IMG_20210504_082250.jpg
 
Saratoga ana m overtake huyo baby warker so sad ndo Mana mi sipendagi kuendesha gari ndogo una zalilika kabisa yani.
Huyo mwenye baby walker ni mwoga wengine wana passo ila si wanyonge
Wenye mabasi wakorofi tu...hapo anaovateki kwenye 50kph zone,mbele hajali gari zinazokuja, na unaweza kuta eneo hilo pia hairuhusiwi kuovateki.
 
Back
Top Bottom