mchapafito
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 608
- 301
Ulikuwa unafanya social-networking detoxification!!....muhimu sana hiyoI'm back Karma nilikuwa off kidogo na mitandao ya kijamii. Huwa nafanya hivi kila baada ya muda fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa unafanya social-networking detoxification!!....muhimu sana hiyoI'm back Karma nilikuwa off kidogo na mitandao ya kijamii. Huwa nafanya hivi kila baada ya muda fulani.
Kwahio huyu mwamba anaovateki bila kujali nani anakuja?Nyuma ya Pride of Kigoma #Road TripView attachment 1772736
Najimunisa hiyo??Nyuma ya Pride of Kigoma #Road TripView attachment 1772736
kipande cha wapi hiki?View attachment 1774011
50KPHZone
Barabara ina shawishi kwa weupe wake ila mguu ukiwa mzito tuu wapo mbele wanakusubiri
Hapo unaweka cruise control unawapita huku ukisema inhiiii!View attachment 1774011
50KPHZone
Barabara ina shawishi kwa weupe wake ila mguu ukiwa mzito tuu wapo mbele wanakusubiri
kipande cha wapi hiki?
Hapo unaweka cruise control unawapita huku ukisema inhiiii!
Arusha naipendaga ile bypass aisee...tamu sana aisee...utadhani haupo TanzaniaSakina, Arusha - Namanga.
Kuelekea kitonga, km unatoka dar
Saratoga ana m overtake huyo baby warker so sad ndo Mana mi sipendagi kuendesha gari ndogo una zalilika kabisa yani.Nyuma ya Pride of Kigoma #Road TripView attachment 1772736
Huyo mwenye baby walker ni mwoga wengine wana passo ila si wanyongeSaratoga ana m overtake huyo baby warker so sad ndo Mana mi sipendagi kuendesha gari ndogo una zalilika kabisa yani.
Huyo mwenye baby walker ni mwoga wengine wana passo ila si wanyonge
Saratoga ana m overtake huyo baby warker so sad ndo Mana mi sipendagi kuendesha gari ndogo una zalilika kabisa yani.
Wenye mabasi wakorofi tu...hapo anaovateki kwenye 50kph zone,mbele hajali gari zinazokuja, na unaweza kuta eneo hilo pia hairuhusiwi kuovateki.Huyo mwenye baby walker ni mwoga wengine wana passo ila si wanyonge
Passo mbona inatembea mzee unaweza kuichukulia poa ila ukiikaa vibaya ile gx 100 hutaona nilipopitaIla watu wana moyo sana....kusafiri na Passo!