Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hilo lilikuwa Prado Massawe bila shaka
 
Mark II jombaa, kuja kuchunguza vizuri tatizo lilianzia kwenye bush, ilikata kiasi kwamba stress ikakimbilia kwenye ball joint na ikaikata...

Huwa nasikia hizo Prado ndio ugonjwa wake huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh mkuu ni noma yani!! Mi nilishabadili bush lakini na ball joint zangu nataka nikaweke link mpya nazo
 
Muhimu kufanya check up na service utakuwa salama.
 
GX 100 na Prado Mchagga zinaongoza kuchomoka ball joint. Ila ball joint inachomoka at low speed tu ndio salama yake.
Mark II jombaa, kuja kuchunguza vizuri tatizo lilianzia kwenye bush, ilikata kiasi kwamba stress ikakimbilia kwenye ball joint na ikaikata...

Huwa nasikia hizo Prado ndio ugonjwa wake huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hii trip ya juzi nilipasua tairi ya nyuma kulia kilomita chache baada ya mzani wa dumila.

Hiyo ilikuwa usiku mishale ya saa 6 kasoro na nilikuwa mwenyewe, spidi ndogo tu maybe 120 kuna kashimo nilikaona kadogo kumbe kana kingo kali.
Kuingiza mguu hapo ulitoka mlio nikajisemea sidhani kama tairi zimepona. Sekunde chache baadae nikapata matokeo yangu nyuma kumelala.

Tatizo la pale barabara nyembamba mno, hamna nafasi ukingoni kusema usogeze gari. Hata ule mstari wa njano wa kingo ya barabara hamna. Istoshe kuna majani marefu yameota mpaka lami inapoanzia, na kuna bonde ukingoni... nadhani mtakuwa mmevuta picha. Yani kusogeza gari pembeni ya barabara haikuwa option.

Japo niliweka triangle mbali kidogo na kuwasha hazard, nilipokuwa nikiweka spea nikiona gari inakuja nanyanyuka kwanza maana mwili wangu ulikuwa barabarani kabisa.

Tairi ilikufa ile aisee maana nilitembea nayo ikiwa imelala kama mita 100 kutafuta parking. Huwezi amini nilizunguka maduka kibao Dodoma kutafuta 225/55R17 hawakuwa nazo. Nilikuja kuipata mchana japo nimeifunga kishingo upande maana haina rating ya treadwear, traction na temperature
 
Shida ni limited vision. Watu wanasema taa nzuri ila trust me ukipishana na gari kuna few seconds unakuwa blind hapo kama kuna kichanja mbele unajificha mvua.
Sasa Sisi wazee wa 150+ Hali hii si salama hata kidogo
Unajificha mvua [emoji23][emoji23][emoji23]

Kupishana usiku ni kipengele kikubwa. Haswa ukutane na watu waliojichokea hawataki kuzima high beams. Na mwingine ametanua zaidi upande wako.
 
Unajificha mvua [emoji23][emoji23][emoji23]

Kupishana usiku ni kipengele kikubwa. Haswa ukutane na watu waliojichokea hawataki kuzima high beams. Na mwingine ametanua zaidi upande wako.
Halafu wabongo wengi hawafahamu matumizi ya hizi led bulbs kwa ajili ya high beams. Wengi wanatumia bulbs ambazo siyo public road-legal. Matokeo yake ndiyo hayo ya kuumiza macho madereva wengine na hata kusababisha ajali.
 
Halafu wabongo wengi hawafahamu matumizi ya hizi led bulbs. Wengi wanatumia bulbs ambazo siyo road-legal. Matokeo yake ndiyo hayo ya kuumiza macho madereva wengine na hata kusababisha ajali.
Yes exactly mtu anafunga led kwenye enclosure ya taa meant for halogen bulbs.... light scattering pattern yake tofauti sana mwishowe anaona vizuri sana kumbe anaumiza wengine.
 
Halafu wabongo wengi hawafahamu matumizi ya hizi led bulbs kwa ajili ya high beams. Wengi wanatumia bulbs ambazo siyo public road-legal. Matokeo yake ndiyo hayo ya kuumiza macho madereva wengine na hata kusababisha ajali.
Hizi taa hazifai kabisa. Kuna kipindi walikuwa wanakamata magari yenye hizi taa sijui operation imeishia wapi?
 
Shida ni limited vision. Watu wanasema taa nzuri ila trust me ukipishana na gari kuna few seconds unakuwa blind hapo kama kuna kichanja mbele unajificha mvua.
Sasa Sisi wazee wa 150+ Hali hii si salama hata kidogo
kesho saa sita usiku naanza safari, juma nne asubuhi saa mbili nina kikao.. ndio raha ya usiku kikao kikisha nalalaaa weweee.. usingizi ukiisha naanza safari tena..
 
Dodoma bado sana, sehemu za uhakika ni Mwanza na Dar es Salaan
 
Shida ni limited vision. Watu wanasema taa nzuri ila trust me ukipishana na gari kuna few seconds unakuwa blind hapo kama kuna kichanja mbele unajificha mvua.
Sasa Sisi wazee wa 150+ Hali hii si salama hata kidogo
Hahaha kwamba unakivagaa kichanja 🤩🤩🤩 aisee ni noma unatakiwa upishane kwa taadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…