Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kama yule wa BMW X5 niliona humuUnakivagaa, unakaa uvunguni,mvua haikunyeshei!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yule wa BMW X5 niliona humuUnakivagaa, unakaa uvunguni,mvua haikunyeshei!
Asante Mungu ni mwema sikupata shida, nikabadilishiwa ball joint, weka spare tyre na baada ya masaa kadhaa safari ikaendelea...
Kuna wakati pia maeneo ya Iringa, nilikuwa nafanya ligi na jamaa mmoja hivi usiku yule mtu anatembea kama anawahisha gazeti...
Nipo kwenye kimteremko fulani kikali, gari imewaka na mshale wa speed hauna mahali zaidi pa kwenda...nikasikia kishindo puuuuu, tairi ya nyuma imeivaa na ishaita inarusha rusha mapande tu...
Kilichobaki hapo ni kubalance gari itulie na ikasimame yenyewe bondeni...
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimu kufanya check up na service utakuwa salama.
Sijui kama wanaume wanasaidiaga wanaume wenzao bila kiwachaji.
[emoji4]Hio ya mbele kushoto hapo ni BMW X3, hii yako .......,.
Cc Watu8
hakuomba namba ya simu?Aaiseeeh, polee.
Mungu aniepushie mbali yasinikute.
Ila kuwa mwanamke raha, nakumbuka ilikuwa mida ya saa 11 jioni nakaribia mataa ya tegeta wazo way tairi ika pancha, nakumbuka alitokea kaka hata simfahamu akaniombea chance nikatoka upande wa kulia na kupaki karibu nanile sheli. Akaniambia spea tairi iko vizuri nikamwambia ndio, lete spana jeki...
Keshaleta mawe kaweka kwenye tairi huyo ndani ya dakika 5 tayari. Nikawa naogopa ntamlipa shilingi ngapi maana hatukuoatana bei, alipomaliza nikamwambia unandai shilingi ngapi akakataa akavuka barabara huyoo akaondoka.
Sikuamini kuwa amenisaidia hivi hivi tuu, nikaendelea njia nzima natabasamu hadi nyumbani.
Sijui kama wanaume wanasaidiaga wanaume wenzao bila kiwachaji.
Barabara mbovu, ila location imekaa poah sana
Ile michezo ya mtu katoa na wewe unatoa bila kujihakikishia ndio inakuwaga na majibu haya.Kauziwa "kicheche"
Tuzingatie kanuni ya sekunde tatu tunapoongozana barabarani, keep your distance, elfu moja na moja elfu moja na mbili.
Kwa madereva waliopitia shule ya udereva watakuwa wamenielewa.
Aidha, kwa madereva ambao hawajabahatika kupitia darasani, hakikisha tu gari iliyo mbele yako umbali baina ya gari hiyo na gari yako ni wa kutosha kiasi kwamba hata akisimama ghafla basi na wewe uweze kusimama bila kusababisha hatari ama ajali.View attachment 1780143
Ha ha ha hivi ushaona madereva wetu? Mmoja akitoka wote wanafuata kama nyumbu? Huwa najiuliza hawa wana akili kweli?Kauziwa "kicheche"