Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?


Aaiseeeh, polee.

Mungu aniepushie mbali yasinikute.

Ila kuwa mwanamke raha, nakumbuka ilikuwa mida ya saa 11 jioni nakaribia mataa ya tegeta wazo way tairi ika pancha, nakumbuka alitokea kaka hata simfahamu akaniombea chance nikatoka upande wa kulia na kupaki karibu nanile sheli. Akaniambia spea tairi iko vizuri nikamwambia ndio, lete spana jeki...

Keshaleta mawe kaweka kwenye tairi huyo ndani ya dakika 5 tayari. Nikawa naogopa ntamlipa shilingi ngapi maana hatukuoatana bei, alipomaliza nikamwambia unandai shilingi ngapi akakataa akavuka barabara huyoo akaondoka.

Sikuamini kuwa amenisaidia hivi hivi tuu, nikaendelea njia nzima natabasamu hadi nyumbani.

Sijui kama wanaume wanasaidiaga wanaume wenzao bila kiwachaji.
 
[emoji4]

Roger that!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo picha aliipiga Bataringaya na miwani yake yenye darubini .....😜😜😜

RRONDO (Baba Taibali) mamboo, nije kuchukua mabungo yangu..?

Mdomo umenijaa mate, aahahahahaa akili yangu ina Matata sana, imeniambia kesho utapata denda bashasha 😆😆😆🤪😅😅😅
 
Kauziwa "kicheche"

Tuzingatie kanuni ya sekunde tatu tunapoongozana barabarani, keep your distance, elfu moja na moja elfu moja na mbili.

Kwa madereva waliopitia shule ya udereva watakuwa wamenielewa.

Aidha, kwa madereva ambao hawajabahatika kupitia darasani, hakikisha tu gari iliyo mbele yako umbali baina ya gari hiyo na gari yako ni wa kutosha kiasi kwamba hata akisimama ghafla basi na wewe uweze kusimama bila kusababisha hatari ama ajali.
Your browser is not able to display this video.
 
hakuomba namba ya simu?
 
Ile michezo ya mtu katoa na wewe unatoa bila kujihakikishia ndio inakuwaga na majibu haya.
 
Ha ha ha hivi ushaona madereva wetu? Mmoja akitoka wote wanafuata kama nyumbu? Huwa najiuliza hawa wana akili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…