Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Au waweke utaratibu namba za magari amabayo yameshakufa kabisa na hayatatumika zirudishwe TRA ili wapewe watu wengine.
 
Wabongo wanavyoabudu namba mpya nani atakubali namba ya zamani?
Kuna ambao namba sio ishu mimi binafsi fresh tu.

Hata nikipata T 250 AAB sina neno.

Kadi ya gari na docs nyingine zinaongea.

Manake sioni sababu kama kuna magari 2000 yapo mitaani yamejifia kabisa namba zake zisirudi kwenye system.

Na unaweza ukawa ni utaratibu kila baada ya miaka 5 au 10. Hizo namba zinarudishwa kwenye system.
 
Kutokuona mbali kunatatuliwa na miwani.

Nikivua miwani yangu -3.5 hata kupaki gari siwezi. Nikivaa natembea mwendo mzuri tu usiku kama mchana.
 
Sijawahi kusikia malalamiko kwa waliozifunga.
 
Though I don't think they are legal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…