Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Barabara inakukaribisha sana.
Njoo tulambe lami mkuu... tuione nature ikipita pembezoni kwa kas, tuone kila aina ya greenish.
Njoo tuexperience hali ya hewa ya mikoa mitano tofauti ndani ya siku moja. Tuisikie sauti ya upepo.
Njoo tuone mazingira ambayo watanzania wenzetu wanaishi mbali na mijini.
Njoo tuenjoy.
Akhsante boss [emoji120][emoji120][emoji120]
Naamini siku moja nitashawishika na kuanza kujaribu kupenda Safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All the best...uangalie speed..hawa jamaa humu usiwasikilize sana aisee...

bado tunakuhitaji tulipe wote deni la taifa .....hahahahaha
Mie huwa naendesha kwa ustaarabu, umakini na uangalifu, maan napenda na kuthamini uhai wangu, ila tatizo road ikiwa nzuri na tambarare huwa napatwa na jini fulan wa kuweka high speed, [emoji23][emoji23][emoji23]

But ntakua makini ktk hilo, thanks kwa ushauri wako.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hapana kwa kweli, nitakamatia mwenyewe usukani mwanzo mwisho, sema naogopa kupata tatizo njian afu peke angu lol.
Nahitaj mtu ili awe msaada kukiwa na tatizo. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Unajua basic troubleshooting?

Unaweza kufungua tairi na kuweka spea? Unatembea na spanner? Pliers? Extra oil? Extra coolant? Extra fuses? (japo zipo kwenye gari ndani pia)
 
Mie huwa naendesha kwa ustaarabu, umakini na uangalifu, maan napenda na kuthamini uhai wangu, ila tatizo road ikiwa nzuri na tambarare huwa napatwa na jini fulan wa kuweka high speed, [emoji23][emoji23][emoji23]

But ntakua makini ktk hilo, thanks kwa ushauri wako.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hilo jini la tambarare lisipokupata wewe utakuwa sio binadamu wa kawaida
 
Ila kiukweli umasikini ulaaniwe! Kuna gari unaingia mpaka unajiuliza...wewe una fail wapi?

Ulishajaribu kufungua mlango wa Mercedes GLE? au VW Touareg? mzee mlango una kilo kumi..nenda sasa kwa zile gari za akina Masanja..mlango kilo moja na nusu...

Yaani umasikini ni adui mkubwa 🙂
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee una vituko San lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hivi wakuu niambie kuhusu hii barabara. ..kutokea Dodoma kwenda Arusha through Babati. Sijawahi pita. Nimetumia hii ya Singida-Arusha via Babati km 325. Ingawa ni ndefu kiana. Though kuanzia late evening inakuwa nyeupeeee...

In few weeks, nataka nifanye trip ya Arusha..ila nina kazi kidogo Dodoma. Sitaki nilale hapo. Nataka jioni niunge Arusha.
Arusha through bbt mkeka bd mpya uko poa sn utumie hutojuta[emoji847]
IMG_20210523_084527.jpg
 
Back
Top Bottom