Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Akhsante boss [emoji120][emoji120][emoji120]Barabara inakukaribisha sana.
Njoo tulambe lami mkuu... tuione nature ikipita pembezoni kwa kas, tuone kila aina ya greenish.
Njoo tuexperience hali ya hewa ya mikoa mitano tofauti ndani ya siku moja. Tuisikie sauti ya upepo.
Njoo tuone mazingira ambayo watanzania wenzetu wanaishi mbali na mijini.
Njoo tuenjoy.
Naamini siku moja nitashawishika na kuanza kujaribu kupenda Safari.
Sent using Jamii Forums mobile app