t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Singida babati utapambana na milima ya low gear , wenyeji wame upa jina 'mlima Logia'Trip hii nataka nitoke Dar asubuhi sana nikalale Singida. Then kesho yake nianze ya kuelekea Arusha. Ila ndio nimeambiwa route hii nitaukosa mkeka wa Dodoma-Kondoa!