From my experience, watu wenye magari "proper" au ya kifahari (sorry nimekosa jina sahihi), I mean the likes of VW, mercedes, BMW, Discovery nk.....kwanza wengi ni wenye uwezo kiuchumi......wakiwa barabarani wanakuwa waangalifu sana. wengi ni watu wenye familia na exposure.... mara nyingi wengi wanaendeshwa.... wanawaambia madereva wao..sitaki speed! Of course yo have exception too ya vijana wenye magari kama haya wanao-behave tofauti...
Ukichunguza vizuri hawa wenye passo, IST nk ni vijana wanaanza maisha. Wengi wa hii kada wanapenda mashindano barabarani. And they are young and super hyper. Kwa hiyo usishangae mtu anaendesha IST au Passo anampita kiongozi na VW yake..akifika mbele anakwambia hata VW kwa Passo haisogei.
Personally, nikiwa barabarani na VW au BMW, whether ni mimi naendesha au dereva..max ni 120!
Hahahah...My friend ndo nimeanza kuzipata halafu unataka nife kizembe kisa nakimbizana na passo, Raum au Rectis barabarani? hapana aisee....ngoja tuwaache vijana wafaidi ujana wao...🙂