Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?


Kuna siku nimeendesha from Dar to Mwanza mwenyewe non stop (Touarage imesimama kweli kweli 🙂 . Nimefika around saa kumi na mbili jioni.....

Ile nimeingia hotelini.....nikajiuliza maswali mengi..Masanja ndo naanza kuingia uchumi wa kati...halafu nakimbizana na hizi barabara..why lakini? sikupata jibu la kuridhisha.

Aisee from there on..nina kijana wangu Dar....mda fulani alikuwa dereva wa diplomat mmoja. Nikiwa nasafiri mbali ndo anashika usukani. But if its a 500km and less naendesha mwenyewe.

The good news.... huyu dereva anaijua na kuipenda kazi yake haina mfano! Kikubwa kuliko vyote yaani gari inakaa safi mda wotee....mpaka raha! (nachukia sana gari chafu)

Truth is..nikiwa nasafiri nataka niwe free..nichungulie iPad kidogo..kama nina kiu nifungue ka kopo ka Heineken kidogo ilmradi...nifurahie safari yangu.

Hapana hizo trip ndefu na speed nawaachia...aiseee.....nisije katisha maisha yangu kizembe nikakosa raha za uchumi wa kati.....ambazo nimezihangaikia for years!

Pamoja sana wakuu..life is short..lets enjoy but.......responsibly!
 
Yaan tangu hapo mie lazima kila aina ya spea na tyres zenye hewa ziwepo, na hela kias fulan cha kumpa fundi knawepo, maan naweza pata tatizo nkatafta fundi eneo hilo hilo ansaidie,

Kiukweli mie napenda safar ya usiku, ila nakataliwa naambiwa bado mdogo siwezi kuhimili mikiki ya usiku, hata nikiwa safarini usiku na mtu/watu sipewi kuendesha bas huwa nachukia ila bas tyuuh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wenzio uchumi wa kati tunaufurahia kwa kuchoma wese na kutembea vibati. Ni starehe pia.
 
Acha tuenjoy maisha ndo haya haya.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Usiku una changamoto za aina yake mkuu na ubabe wa tofauti sana. Pata kwanza uzoefu mchana, step by step.
 
Hivi mnawezaje kuona mkiwa mmevaa miwani? Nahisi huwa hamuoni nyie, ila poleni San, mie sijui hata itakuaje, maan miwani kwangu hapan

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kama ambavyo wewe unaona vizuri bila miwani vivyohivyo na sisi tunaona vizuri mubashara tukivaa miwani.
Kama ambavyo wewe ukivaa miwani unaona nyota,na sisi tusipovaa tunaona nyota kama zote..hata kuona sura ya mtu halisi hatuwezi.
Nilipokuwa shule,kuna kipindi mapindi yalikuwa yananipita sielewi chochote na nipo darasani,tena siti ya mbele..kisa nimeweka mgomo kuchongesha miwani.
Hakuna nyota sikuiona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila we jamaa[emoji1787][emoji119]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohoo..
Unapita hadi Tunduma ama waelekea Tukuyu?


Sent using Jamii Forums mobile app
Depends, ratiba ni flexible zinaweza badilika muda wowote. Ila so far ntaishia Mbeya mjini.
In around 2 weeks nikishajaza mchele na mpunga kwenye buti ntaanza kurudi mjini via Iringa > Dodoma nijazie buti na madumu ya wine then nielekee Dar nikatulie.
 
Duuuh polen sana cc, vipi miwan ile mikanda yake haiumiz kweny masikio, mda mrefu?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…