Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi Holy Man mwaka huu unaweza ukawa umetembea km ngapi?
Maana kama wewe, mimi pia lazima nisafiri kikazi...

Since January nimekula not less than 10000km highway
Dah 10000-12000 ni km zangu za mwaka.
Raia mnazifuta ndani ya mwezi duh
 
Tonatofautiana sana mimi kitu pekee nilichonacho ni kidumu cha litres tano tu cha kuwekea petrol,sina spaner yeyote wala spare ya namna yeyote na zaidi ya mwaka sasa sijawahi kupatwa na tatizo lolote ingawa ni hatari sana hii hali
Sasa Mkuu, kati ya fuel tank emptying na breakdown (yoyote ile) kioi chaweza dhibitika mapema bila kuhitaji hatua za dharura? Wese waliona kabisa lileeee linayeya, unless gauge imisbehave
 
Na pengine ni kutokufahamu tu. Ila kama siyo road legal lazima iwe imeandikwa. Sasa unakuta mtu kanunua tu bila kusoma, kisha anajiwekea mataa ambayo yanapaswa kutumika kwenye barabara za maporini huko.

View attachment 1798666

"Not for use on public roads".

Wanamaanisha nini by so saying? Huko ughaibuni kuna 'private' roads?

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…