Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,740
Mkuu kwa barabara zetu hizi za kuchana matairi hii technologia mpya itafika hata 10Km kweli?Run flat haihitaji chochote inatembea na pancha Kwa km80 zenye kit za kawaida hazina spare tyre ILA zina jack na spanner
