Naombeni lift jomoneeeeh, mie kokote kule naenda.
Haya ndio maamuzi ya busara kwa tusiokua na magari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni lift jomoneeeeh, mie kokote kule naenda.
Kabisaaah yaaan lol.Haya ndio maamuzi ya busara kwa tusiokua na magari
Tupo,me nakitu cha T...CKP...mpaka kufikia jana kuanzia j3 iliyopita ya tarehe 14...Dom-Dar, Dar- Ar, Ar- Dom....xmas ikianza, Dom- Ar, Ar -Dar..xmas ikiisha, Dar- Ar, Ar- Dom....Mwaka mpya ukianza, Dom- Dar, Dar- Ir,then Ir - Dom...vipi hapo? 😍Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?
Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo
All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
DVA ni German machine au Japanese?
DVA ni German machine au Japanese?
Latest registration hiyo
Uko vizuri. Enjoy your trip bossTupo,me nakitu cha T...CKP...mpaka kufikia jana kuanzia j3 iliyopita ya tarehe 14...Dom-Dar, Dar- Ar, Ar- Dom....xmas ikianza, Dom- Ar, Ar -Dar..xmas ikiisha, Dar- Ar, Ar- Dom....Mwaka mpya ukianza, Dom- Dar, Dar- Ir,then Ir - Dom...vipi hapo? 😍
Na Mimi Naomba liftNjoo nikupe lift 24/12
ukweli mtupu, hata sisi wakulima tupo huru sana, unabeba familia X-mas na Mwaka mpya 2021 unawakuta Mlimani au Zenj au milimani Lushoto kwa King'asti unaichungulia KenyaYeah ukiwa mfanyabiashara/umejiajiri kuna ka Uhuru fulani hivi. Akili ikichoka unaenda zako nje ya mji for few days
Huna job wala biashara?! Hata kilimo ni biashara aka AGRIBUSINESSukweli mtupu, hata sisi wakulima tupo huru sana, unabeba familia X-mas na Mwaka mpya 2021 unawakuta Mlimani au Zenj au milimani Lushoto kwa King'asti unaichungulia Kenya
lkn km umeajiriwa, utasikia Tangazo wakurugenzi wote hakuna kwenda likizo atakayetoka viti vitaondolewa, basi ujue hapo ni mpaka chini kwa walimu na manesi
acheni nibaki sina job wala biashara mradi nina kaVW kobe kangu na T ... Axx kanatosha kuovertake T ... DVA za akina RRONDO
Kuendesha usiku raha sana, tena unakimbia ni hakuna maana upo mwenyeweNamaanisha ukiwa unaendesha. Binafsi sipendi kuendesha nikiwa sijui wapi nilipo. Unajikuta unaendesha tu.
Kuna wakati unatamani ufike mapema destination.
Hiyo ni hatari,ilishanitokea mwka juzi,nilitoka Mwanza mbili usiku mpaka nafika Manyoni nimeshalowa chapachapa kwa kujimwagia maji kukata usingizi na hapo nimeshatafuna chew gum za kutosha.....nikaona isiwe tabu nikajiegesha pale Manyoni pembeni ya kituo cha mafuta,kulipopambazuka nikaendelea na safari yangu ya kuja DarKuendesha usiku raha sana, tena unakimbia ni hakuna maana upo mwenyewe
ukiona usingizi unakunyemelea wewe anza kwa kupayuka fuatiliza music wa kwenye gari, exhaust inavyotema kinanda huko nje maana ni diesel na manual mm mwishowe nilivua nguo zote nikasema hapa sisimami hata kikiikuta Barrier maana energy drink zote zilishindwa, sigara, kilagy na konyagi,
nimetoka DSM na L/cruiser usiku wa saa 3, alfajiri natakiwa nikabebe wahusika familia Dodoma kwenda Bukoba, nimekuja kuzidiwa Shelui Igunga mchana lami inachoma macho, tulifika salama tukazika usiku tukarudi,
Itakuwa waletewa hadi chumbaniHuko Lushoto nitapatafuta, si unapandia hapo Mombo?
ni hao kuku wakienyeji nawatafuta nitawaomba wahudumu waniletee ntatengeneza mwenyewe, Utalii wa ndani mwaka huu ni huko Lushoto
Usiku kama nasafari ndefu, huwa nachukua redbull mbili au tatu, na madumu ya maji lita 1.5 matatu na mix naanza kupiga kabla sijaanza, ili kojo linisumbue sumbue, alafu napuliza moshi wa masigara kama gari moshi na milaa kwa pembeni.. hiyo sipati usingizi hata kiduchu. Na huwa napenda sana silence kwa ajiri ya focus kwenye road. Huwezi kuta nasafiri na mziki kwa usiku 😀😀😀Kuendesha usiku raha sana, tena unakimbia ni hakuna maana upo mwenyewe
ukiona usingizi unakunyemelea wewe anza kwa kupayuka fuatiliza music wa kwenye gari, exhaust inavyotema kinanda huko nje maana ni diesel na manual mm mwishowe nilivua nguo zote nikasema hapa sisimami hata kikiikuta Barrier maana energy drink zote zilishindwa, sigara, kilagy na konyagi,
nimetoka DSM na L/cruiser usiku wa saa 3, alfajiri natakiwa nikabebe wahusika familia Dodoma kwenda Bukoba, nimekuja kuzidiwa Shelui Igunga mchana lami inachoma macho, tulifika salama tukazika usiku tukarudi,
Hiyo ni hatari,ilishanitokea mwka juzi,nilitoka Mwanza mbili usiku mpaka nafika Manyoni nimeshalowa chapachapa kwa kujimwagia maji kukata usingizi na hapo nimeshatafuna chew gum za kutosha.....nikaona isiwe tabu nikajiegesha pale Manyoni pembeni ya kituo cha mafuta,kulipopambazuka nikaendelea na safari yangu ya kuja Dar
Huwa sipendi kuendesha usiku safari ndefu,labda kwa misele ya hapa hapa jijini,kutoka Julliana kwenda kulala mkuranga
ukweli mtupu, hata sisi wakulima tupo huru sana, unabeba familia X-mas na Mwaka mpya 2021 unawakuta Mlimani au Zenj au milimani Lushoto kwa King'asti unaichungulia Kenya
lkn km umeajiriwa, utasikia Tangazo wakurugenzi wote hakuna kwenda likizo atakayetoka viti vitaondolewa, basi ujue hapo ni mpaka chini kwa walimu na manesi
acheni nibaki sina job wala biashara mradi nina kaVW kobe kangu na T ... Axx kanatosha kuovertake T ... DVA za akina RRONDO
Nimekumiss Miss Mod
Huko Lushoto nitapatafuta, si unapandia hapo Mombo?
ni hao kuku wakienyeji nawatafuta nitawaomba wahudumu waniletee ntatengeneza mwenyewe, Utalii wa ndani mwaka huu ni huko Lushoto