Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama
Hiyo ni hatari,ilishanitokea mwka juzi,nilitoka Mwanza mbili usiku mpaka nafika Manyoni nimeshalowa chapachapa kwa kujimwagia maji kukata usingizi na hapo nimeshatafuna chew gum za kutosha.....nikaona isiwe tabu nikajiegesha pale Manyoni pembeni ya kituo cha mafuta,kulipopambazuka nikaendelea na safari yangu ya kuja Dar
Huwa sipendi kuendesha usiku safari ndefu,labda kwa misele ya hapa hapa jijini,kutoka Julliana kwenda kulala mkuranga
unajijua una matatizo ya usingizi night hakikisha umelala vya kutosha mchana. Jifosi yani uamke mida ambayo ndio utajiandaa na kuanza kutoka.

Lets say ulale saa 8 mchana hadi saa 1 jioni hivi. Kisha ndio unaoga na kwenda kukalia usukani. Sio mchana kutwa unashinda pilikapilika halafu jioni unataka uwashe gari utembee more than 8 hrs barabarani.
 
Kuendesha usiku raha sana, tena unakimbia ni hakuna maana upo mwenyewe
ukiona usingizi unakunyemelea wewe anza kwa kupayuka fuatiliza music wa kwenye gari, exhaust inavyotema kinanda huko nje maana ni diesel na manual mm mwishowe nilivua nguo zote nikasema hapa sisimami hata kikiikuta Barrier maana energy drink zote zilishindwa, sigara, kilagy na konyagi,
nimetoka DSM na L/cruiser usiku wa saa 3, alfajiri natakiwa nikabebe wahusika familia Dodoma kwenda Bukoba, nimekuja kuzidiwa Shelui Igunga mchana lami inachoma macho, tulifika salama tukazika usiku tukarudi,
Good for you.
 
Yes yes. Wanakutengenezea buree. Kuna sehemu ya Moto ulitaka kuchoma mwenyewe
Itakuwa waletewa hadi chumbani
Kumbe ni hizo qwio qwio na mabroiler
hapana mm nataka zile za kisambaa za kufunika na mablnket baridi huko kwa kina Shem....zigo she mka... shem...aho sio nikaingie kwenye moto wa mkaa
basi ngoja niende Majani Mapana Tanga yalikoanzia maLove
😀😂😍😍😇
 
Kuendesha usiku raha sana, tena unakimbia ni hakuna maana upo mwenyewe
ukiona usingizi unakunyemelea wewe anza kwa kupayuka fuatiliza music wa kwenye gari, exhaust inavyotema kinanda huko nje maana ni diesel na manual mm mwishowe nilivua nguo zote nikasema hapa sisimami hata kikiikuta Barrier maana energy drink zote zilishindwa, sigara, kilagy na konyagi,
nimetoka DSM na L/cruiser usiku wa saa 3, alfajiri natakiwa nikabebe wahusika familia Dodoma kwenda Bukoba, nimekuja kuzidiwa Shelui Igunga mchana lami inachoma macho, tulifika salama tukazika usiku tukarudi,
Hakuna kitu kibaya kama usingizi.

Majuzi nilikuwa natoka Arusha kwenda Moshi ilikuwa asubuhi sana.

Nikawa nasikia usingizi mpaka kuna saa nikayumba kidogo, yale magari ya kutoka Moshi kwenda Mwanza wakanipigia honi.

Nikapaki maeneo ya Kikatiti nikanawa uso. Nikaendelea kwa kujikaza, nikafika hapo Hugos nikapaki nikala usingizi mpaka saa 7 mchana. Nikala nikaamsha Dar.

Siku hiyo nilijua jinsi ilivyokuwa rahisi kufa kwa ajali.
 
Kuendesha usiku raha sana, tena unakimbia ni hakuna maana upo mwenyewe
ukiona usingizi unakunyemelea wewe anza kwa kupayuka fuatiliza music wa kwenye gari, exhaust inavyotema kinanda huko nje maana ni diesel na manual mm mwishowe nilivua nguo zote nikasema hapa sisimami hata kikiikuta Barrier maana energy drink zote zilishindwa, sigara, kilagy na konyagi,
nimetoka DSM na L/cruiser usiku wa saa 3, alfajiri natakiwa nikabebe wahusika familia Dodoma kwenda Bukoba, nimekuja kuzidiwa Shelui Igunga mchana lami inachoma macho, tulifika salama tukazika usiku tukarudi,
Halafu huwa sipendi makelele kabisa hata iwe mziki, redio n.k.

Hata radio ya gari huwa nazima.

Nasikilizia upepo wa AC tu.
 
Kuendesha usiku raha sana, tena unakimbia ni hakuna maana upo mwenyewe
ukiona usingizi unakunyemelea wewe anza kwa kupayuka fuatiliza music wa kwenye gari, exhaust inavyotema kinanda huko nje maana ni diesel na manual mm mwishowe nilivua nguo zote nikasema hapa sisimami hata kikiikuta Barrier maana energy drink zote zilishindwa, sigara, kilagy na konyagi,
nimetoka DSM na L/cruiser usiku wa saa 3, alfajiri natakiwa nikabebe wahusika familia Dodoma kwenda Bukoba, nimekuja kuzidiwa Shelui Igunga mchana lami inachoma macho, tulifika salama tukazika usiku tukarudi,
Usiku ni hatari sana ndugu....nakushauri tu...lala walau anza safari utakapoamka hata kama ni saa tisa,walau labda iwe muhimu sana.
 
Back
Top Bottom