mwendazake-ndago
Member
- May 26, 2021
- 96
- 723
Duuuuuh aseeeh, ndo maana nakatazwa na kunyimwa nafas ya ku drive usiku.Usiku ni ngumu kuendesha maana inabidi akili iwe very sharp, kwanza kukadiria distance, ku neggotiate corners , mnavyopishana na pia uwe mwepesi kujua uelekeo wa gari unalopishana nalo, kuna madereva wengine usiku wanaendesha wakiwa wamechoka , hakawii kusinzia , kuingia upande wako akakusababishia ajali,
Duuuh mbna unaniogopesha sasa lol.Mlandizi Chalinze hakuna foleni. Giza likikolea tu anza Mbezi kuiitafuta Chalinze na kisha ugeuze urudi. Ni kipimo tosha cha changamoto za usiku.
Bas bas nimeshaelewa jaman, duuuuh.Tukiongea anaweza asielewe. Akienda wakampelekea moto ndio tutazungumza lugha moja nini maana ya changamoto za usiku
Wengi mnaopenda kusafiri usiku mnakwepa tochi
Duuuuih jaman poleeeeh.Itabidi nifanye mpango aisee..miwani inakera sana.
Kwa hapa bongo wapi naweza pata hiyo huduma?
Hapo penyewe last time Dr alinipima akaniambia computer inaonyesha -4..nikamwambia aache utani.
4 sivai mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Mkuu sijaona ukichangia lkn nakushukuru kwa kupiga LIKE nimeshangaa zimeingia mfululizo nikafikiri virus, kumbe umetwanga
ukipenda usafiri upo lkn ni wa Lorry zipo safari za kupeleka chakula kambi za wakimbizi UNHCR
tunaanzia Dodoma Singida Nzega Kahama mpaka Nyakanazi huko tukishusha chakula tunarudi tupi
ngoja ikikaribia safari nakushtua km upo interest
Poleeeh sana cc, a can't imagine unatesekaje yaan. LolNimeshakuwa addicted na miwani..nisipova utanionea huruma.
Machozi yanavuja tu halafu sioni,naishia kubinya macho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakukuwa na spare yeyote, na isitoshe hata ingekuwepo nisingejua chochote maan sikuwahi pata adha km hiyo, ndo maan nilkua nalia tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ulikuwa na tyre spare hakukuwa na haja ya kutuma mafundi toka dar.
Ungetafuta kijana maeneo ya karibu akusaidie kazi unampa 5000 ya supu.
Asante mkuu [emoji120]Duh Mkuu sijaona ukichangia lkn nakushukuru kwa kupiga LIKE nimeshangaa zimeingia mfululizo nikafikiri virus, kumbe umetwanga
ukipenda usafiri upo lkn ni wa Lorry zipo safari za kupeleka chakula kambi za wakimbizi UNHCR
tunaanzia Dodoma Singida Nzega Kahama mpaka Nyakanazi huko tukishusha chakula tunarudi tupu
ngoja ikikaribia safari nakushtua km upo interest
Shukrani [emoji4][emoji120][emoji120][emoji120]Thanks for likes Saint Anne
Yaan km mie tyuuh, sipendi kuendeshwa wallah. [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa jinsi ninavyopenda kuendesha.
Huwa siwi comfortable kukaa pembeni mtu aniendeshe.
Labda nikifika miaka 80 huko (kama ntafika) ndo ntakuwa naendeshwa.
Otherwise, wacha nipige gear.
Nishazoea.Poleeeh sana cc, a can't imagine unatesekaje yaan. Lol
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah, hakujisikia aibu?Ha ha ha ha kuna dada aliniuliza mlango wako mbovu?! Nikamwambia sukuma tu mlango wa mkoloni mzito kidogo!
Oh sawa boss [emoji120][emoji120]Tafuta miwani isiyo na material ya kuvunjika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMsinisifie sana.
Napata bichwa,bichwa langu litavimba hadi litapasuka[emoji38].
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Uzi wenu unavutia.
Sent using Jamii Forums mobile app