Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ila mwanzo mwisho DAR-KISARAWE- MLOKA- RUFIJI Kama unaroho nyepesi unageuza njiani. Pori ndani ya pori kimyaa unaweza usipishane na gari yeyote ile KISARAWE MLOKA rafu road tope la kufa mtu. Yaani kule kama hauna Cruiser Mkonga, Au Nissan Patrol/Safari au Cruiser Gx haupiti.
Hamna njia mbadala kufika huko?
 
Ila mwanzo mwisho DAR-KISARAWE- MLOKA- RUFIJI Kama unaroho nyepesi unageuza njiani. Pori ndani ya pori kimyaa unaweza usipishane na gari yeyote ile KISARAWE MLOKA rafu road tope la kufa mtu. Yaani kule kama hauna Cruiser Mkonga, Au Nissan Patrol/Safari au Cruiser Gx haupiti.
Kumbe na kisarawe unatoboa mloka?me nilipita Dsm-kibiti-mloka-Rufiji
 
DAR-UBENA ZOMOZI- NGERENGERE MVUHA-KISAKI- RUFIJI-MLOKA-IKWIRIRI-DAR Nilipiga hii trip nilivyorudi home nililala week maumivu yake. Hio trip gari haikuzimwa imewashwa dar saa nane usiku imerudi kesho yake saa nane usiku hamana kuzima engine. Juu kwa JUU
[emoji23][emoji23][emoji23]umenifuraisha mno bro hii trip nilishapiga njia mbaya balaa nilikua hardbordy afu halina brake fresh yan acha tu wanaume tumeumbiwa mateso!
 
Basi itakuwa ishu ndogo. Wenzio tukivua miwani hatuwezi kusoma plate namba ya gari iliyoko mita 20 mbele!! Natembea na miwani ya spea kwenye gari ili ikivunjika hii nisije kushindwa kuendelea na safari!

Tatizo lako lingekuwa kubwa ungetafuta solution. Ama miwani, ama contact lenses, ama surgery. Ila usingeweza kuishi nalo, lingekuzuia vingi.
Daah hilo nalo neno aise
 
Back
Top Bottom