Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Umeona eh! Sijui kwanini watu huwa wanaichukulia poa mikoa ya nyanda za juu kusini!Sijaona anayetaka kupiga trip ya Mbeya,Songwe.
Hakuna anayevutiwa kutembea huko.?
Mwenyeji wenu nipo.
Sent using Jamii Forums mobile app