Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ila mwanzo mwisho DAR-KISARAWE- MLOKA- RUFIJI Kama unaroho nyepesi unageuza njiani. Pori ndani ya pori kimyaa unaweza usipishane na gari yeyote ile KISARAWE MLOKA rafu road tope la kufa mtu. Yaani kule kama hauna Cruiser Mkonga, Au Nissan Patrol/Safari au Cruiser Gx haupiti.
 
Usiku ni ngumu kuendesha maana inabidi akili iwe very sharp, kwanza kukadiria distance, ku neggotiate corners , mnavyopishana na pia uwe mwepesi kujua uelekeo wa gari unalopishana nalo, kuna madereva wengine usiku wanaendesha wakiwa wamechoka , hakawii kusinzia , kuingia upande wako akakusababishia ajali,
Duuuuuh aseeeh, ndo maana nakatazwa na kunyimwa nafas ya ku drive usiku.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wengi mnaopenda kusafiri usiku mnakwepa tochi

Kukwepa tochi amounts to saving time.

Imagine you are driving Dar to Mwanza... 50KPH speed limits kwenye kila Kijiji !

Kwa hizi baby-walkers za bei rahisi ambazo utadhani umekalia kigoda (zero comfortability), kwa long trip kama hiyo lazima upambane na driving fatigue ya hatari.

Cruising at night lessens all that.

-Kaveli-
 
Duh Mkuu sijaona ukichangia lkn nakushukuru kwa kupiga LIKE nimeshangaa zimeingia mfululizo nikafikiri virus, kumbe umetwanga
ukipenda usafiri upo lkn ni wa Lorry zipo safari za kupeleka chakula kambi za wakimbizi UNHCR
tunaanzia Dodoma Singida Nzega Kahama mpaka Nyakanazi huko tukishusha chakula tunarudi tupi
ngoja ikikaribia safari nakushtua km upo interest

Nita kutafuta Bro
 
Kama ulikuwa na tyre spare hakukuwa na haja ya kutuma mafundi toka dar.

Ungetafuta kijana maeneo ya karibu akusaidie kazi unampa 5000 ya supu.
Hakukuwa na spare yeyote, na isitoshe hata ingekuwepo nisingejua chochote maan sikuwahi pata adha km hiyo, ndo maan nilkua nalia tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila sasa hivi, lazima gari ihakikiwe, spare ziwepo pa1 na pesa ya kumpa atakaye solve tatizo.

Nkikumbuka huwa najicheka san daaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Duh Mkuu sijaona ukichangia lkn nakushukuru kwa kupiga LIKE nimeshangaa zimeingia mfululizo nikafikiri virus, kumbe umetwanga
ukipenda usafiri upo lkn ni wa Lorry zipo safari za kupeleka chakula kambi za wakimbizi UNHCR
tunaanzia Dodoma Singida Nzega Kahama mpaka Nyakanazi huko tukishusha chakula tunarudi tupu
ngoja ikikaribia safari nakushtua km upo interest
Asante mkuu [emoji120]
Japo naogopa mno magari makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi ninavyopenda kuendesha.

Huwa siwi comfortable kukaa pembeni mtu aniendeshe.

Labda nikifika miaka 80 huko (kama ntafika) ndo ntakuwa naendeshwa.

Otherwise, wacha nipige gear.
Yaan km mie tyuuh, sipendi kuendeshwa wallah. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom