Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna mwaka sinto kuja kusahau, nilifunga tairi mpya na kuzimaliza chini ya miezi kumi, 36,000 Km

Kibongobongo zilikuwa bado, ila TWI ilikuwa imefikia kikomo, hivyo nikavua na kuweka tyre mpya kumalizia kiporo cha kazi.

Suv
 
Huku mtaani kwenye nzengo mijadala ni kuwa matukio ya ujambazi yameanza kurejea kwa speed ya 5G!

So kwa wale long trippers wa usiku, anzeni kumiliki japo 'mguu wa bata' for self defense, angalau kutia mkwala kinapokuwa kimenuka! 'Risk Assessment and Consciousness' must be part of the package.

Otherwise, kuaminia panga moja na sime ndefu ya kimasai chini ya siti, mtachezeshwa mdumange na wajuba huko maporini usiku mnene.

-Kaveli-
 
For some reason Mimi nimegundua combination mbaya kwangu ni mziki mkubwa. Yaani mziki ukiwa full blast mguu unakanyaga zaidi. Basi naepuka kuweka mziki sauti kubwa hasa nikiwa mwenyewe na naenda mbali
Mie huwa niko sensitive na rpm bars! Nakanyaga niwezavyo ila sivushagi 2000 rotations per minute! Inasaidia sana kunipa economy nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…