Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Sifahamiani nao kiviiile...Huyo unaempa lift mnafahamiana? Jinsia yake?
Hapana mkuu.[emoji119][emoji119][emoji26][emoji26][emoji119][emoji119]Utakuwa na muonekano wa pesa chafu
Imenitokea mkuu ME wawili na KE mmoja...tena mbaya zaidi tulikuwa tunatoka msibani, nikampa msela lift wakati wa kurudi...Kisha anaomba hela..Ni very rare mwanaume kumuomba mwanaume mwenzake hela na tena hawafahamiani.
Kweli mkuu, Nissan Patrol yenye injini ya TD42 ikiwa na automatic transmission huwa inatabia ya kuchelewa kuchanganya na kwenye mlima ikirudi gear ndogo husinzia sana.Sababu kubwa ni kutumia gearbox za kizamani na zenye gia 4 kwa automatic.Nissan patrol ya kwaza. Kuendesha ilikuwa ya mzee fulani wa dodoma , trip ya dar to dom , gari ilikuwa auto halafu sijui kwa nini halikuwa na nguvu kabisa na ndio lilikuwa linetoka japan. toka siku hiyo nikayachukia kabisa hayo madude ,
Ila must admit, zipo comfortable sana
Ameeeeen.
Sasa mbona Dar - songea via Lindi ndo wanawahi kufika final destination, kuliko via Moro?Kanyaga twende...View attachment 1800494
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNje ya mada kidogo..
Hivi unakutana na mtu unampa lift, unamshusha sehemu anayotaka kushukia, kisha anakuomba hela....Tena mwingine anasisitiza.." Hujawahi kunipa hela".
Wazee wa road trip, hii kitaalamu imeekaje .?[emoji848][emoji848]
Me anaomba hela? Na hamfahamian? Vipi ulimpa?Sifahamiani nao kiviiile...
Wawili walikuwa Me mjona Ke...kwa nyakati tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena anaomba kwa dharau hivyo mweeeh.Imenitokea mkuu ME wawili na KE mmoja...tena mbaya zaidi tulikuwa tunatoka msibani, nikampa msela lift wakati wa kurudi...Kisha anaomba hela..
"Bro nitoe hata buku tano."..
Kumbuka hapo umeshamuokolea nauli ya bodaboda au bajaji..[emoji26][emoji26][emoji119]
Tunafahamiana kiasi ila si yale mazoea ya kupiga stori kiviile, au kuazimana vitu..Me anaomba hela? Na hamfahamian? Vipi ulimpa?
Tabia mbaya hiyo, ungempa tyuuh mmmhTunafahamiana kiasi ila si yale mazoea ya kupiga stori kiviile, au kuazimana vitu..
Sikumpa kitu...nilimuambia atumie nauli niliyomuokolea kuilipa kwenye boda boda au bajaji
.Akaniambia."Poa bro usikonde.."
Hapa hata mie nakubali.Njia ya Dar Lindi Songea Ina kilometa pungufu na haina milima mingi kulinganisha na kupitia Iringa/Muombe.
Mazingira ninayoishi vijana na wazee hawana aibu ya kuomba omba hela....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena anaomba kwa dharau hivyo mweeeh.
Hakika unazijua!!!Kweli mkuu, Nissan Patrol yenye injini ya TD42 ikiwa na automatic transmission huwa inatabia ya kuchelewa kuchanganya na kwenye mlima ikirudi gear ndogo husinzia sana.Sababu kubwa ni kutumia gearbox za kizamani na zenye gia 4 kwa automatic.
Ukitaka kufurahia jaribu kuendesha manual, Nissan na ukubwa wote wa body ila ukiichezea kwa kuachia clutch ghalfa mbele huwa inataka kama kuinuka.
Angekuwa Ke ningempa kiroho safi...Tabia mbaya hiyo, ungempa tyuuh mmmh
Siku hizi sababu ya covid na curfew hiyo route hawasafiri usiku tena ,Angeenda kampala UG kwa kupitia Arusha, Namanga, Nairobi, Kisumu, Busia, Jinja, Kampala.
Ila kwa wenzetu basi ni 24/7, hakuna kulala.
Nilipanda basi Jinja saa 10 jioni, saa 1 asubuhi tuko Namanga
Nissan ni magari mazuri sana changamoto naona wanafel kwenye transmission..Hakika unazijua!!!
Engine ilikuwa ni Td 42 na lilikuwa lina behave exactly ulivyoelezea , sijawahi kupata nafasi ya kuendesha manual labda ningelipenda
Wabaya , zaidi ni swala , unaweza kuona pametulia , ghafla bin vuu, huyu hapa kwa barabara , anamkimbia simba!!!!Pale mikumi hatari sana kukatiza kwa speed zaidi ya 120
Wanyama ni wanyama tu
Unaweza kuona peupeee mara pAAAp, tembo anavuka, ama nyumbu, ama Nyati (sipati picha)