Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni very rare mwanaume kumuomba mwanaume mwenzake hela na tena hawafahamiani.
Imenitokea mkuu ME wawili na KE mmoja...tena mbaya zaidi tulikuwa tunatoka msibani, nikampa msela lift wakati wa kurudi...Kisha anaomba hela..
"Bro nitoe hata buku tano."..
Kumbuka hapo umeshamuokolea nauli ya bodaboda au bajaji..[emoji26][emoji26][emoji119]
 
Nissan patrol ya kwaza. Kuendesha ilikuwa ya mzee fulani wa dodoma , trip ya dar to dom , gari ilikuwa auto halafu sijui kwa nini halikuwa na nguvu kabisa na ndio lilikuwa linetoka japan. toka siku hiyo nikayachukia kabisa hayo madude ,
Ila must admit, zipo comfortable sana
Kweli mkuu, Nissan Patrol yenye injini ya TD42 ikiwa na automatic transmission huwa inatabia ya kuchelewa kuchanganya na kwenye mlima ikirudi gear ndogo husinzia sana.Sababu kubwa ni kutumia gearbox za kizamani na zenye gia 4 kwa automatic.
Ukitaka kufurahia jaribu kuendesha manual, Nissan na ukubwa wote wa body ila ukiichezea kwa kuachia clutch ghalfa mbele huwa inataka kama kuinuka.
 
Imenitokea mkuu ME wawili na KE mmoja...tena mbaya zaidi tulikuwa tunatoka msibani, nikampa msela lift wakati wa kurudi...Kisha anaomba hela..
"Bro nitoe hata buku tano."..
Kumbuka hapo umeshamuokolea nauli ya bodaboda au bajaji..[emoji26][emoji26][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena anaomba kwa dharau hivyo mweeeh.
 
Kweli mkuu, Nissan Patrol yenye injini ya TD42 ikiwa na automatic transmission huwa inatabia ya kuchelewa kuchanganya na kwenye mlima ikirudi gear ndogo husinzia sana.Sababu kubwa ni kutumia gearbox za kizamani na zenye gia 4 kwa automatic.
Ukitaka kufurahia jaribu kuendesha manual, Nissan na ukubwa wote wa body ila ukiichezea kwa kuachia clutch ghalfa mbele huwa inataka kama kuinuka.
Hakika unazijua!!!
Engine ilikuwa ni Td 42 na lilikuwa lina behave exactly ulivyoelezea , sijawahi kupata nafasi ya kuendesha manual labda ningelipenda
 
Hakika unazijua!!!
Engine ilikuwa ni Td 42 na lilikuwa lina behave exactly ulivyoelezea , sijawahi kupata nafasi ya kuendesha manual labda ningelipenda
Nissan ni magari mazuri sana changamoto naona wanafel kwenye transmission..
SUV kubwa namna ile kuwa na 4speed auto transmission ni ufala..
Hizi CVT zao za Jatco usipokuwa makini, inakudhalilisha
 
Pale mikumi hatari sana kukatiza kwa speed zaidi ya 120

Wanyama ni wanyama tu

Unaweza kuona peupeee mara pAAAp, tembo anavuka, ama nyumbu, ama Nyati (sipati picha)
Wabaya , zaidi ni swala , unaweza kuona pametulia , ghafla bin vuu, huyu hapa kwa barabara , anamkimbia simba!!!!
Bora ugonge mmoja bas, wakiwa watatu , dola 600 iwe kwenye mfuko wa shati
 
Back
Top Bottom