Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

For more than a decade 2019 ndo iliniwakia ila mpaka dk hii haijaniletea ttzo na mafundi wengi wameshindwa kuizima japo gari bado inarun smoothly hata kwa safari za ghafla kwenda mikoani..... Mbaya zaidi hata kwenye odb reader haitoi reading yoyote yaani haisomi
Labda ilichoka kukaa bila kazi 😂😂
 
Mm huu mwezi wa tatu sasa namshukuru mungu. Nilikuwa siwezi kuona vizuri ghafla tu Yaani. Yaani hata nikiendesha gari namba za gari mbele yangu siwezi kuzisoma Naona double vision. Nikajua labda umri umefika wa kununua miwani ila nikasema Ngoja nikapime macho Huwezi amini nimefika hospitali wakaniambia Ngoja tukupime kwa Nzaga damu kuja kucheki mwanangu nina sukari inasoma 34 na presurre juu. Kumbe sukari inakufanya usione aisee. Nikaambiwa macho yako mazima kama mtoto mdogo Ishu ni sukari kwanza unabahati umefikaje hapa. Nilivyo toka hapo nikaenda mmoja kwa mmoja gengeni nikanunua mchicha matembele brocoli Yaani ndio ikawa chakula yangu. Nikaanza na kutembea 5 km kila siku. Nikapewa list ya vyakula vya kutumia. Wali nilipiga chini, ugali wowote ule hadi wa dona nilipiga chini maandazi sijui mihogo sijui viazi piga chini. Asali na matunda yote piga chini kasoro matango na parachichi. Mtindi uwe ule plain original. Asubuhi nikiamka ni mlenda nakula zima ndio chai. Sasa hivi sukari inasoma 6.1
Mkuu pole sana na hongera kwa kupambania kuishusha na hakika umetoa na somo kwetu juu ya kupambana kuishusha....... Sio mchezo mdogo
 
Nimeona Mshana amepost Saint Anne amefiwa na baba yake.

Napenda kumpa pole mdau mwenzetu na Mungu amtie nguvu kipindi hiki kigumu kwake na wanafamilia.

Roho ya marehemu ipumzike kwa amani.
Amina !
Roho ya Baba wa mwenzetu Saint Anne ipumzike kwa amani [emoji1374]
Pole sana Saint Anne Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kumpumzisha baba yetu.
Mungu awafanyie wepesi..Vile hatujuani..tungechanga hata 5000 kwa kila mtu tumpe pole
Pole sana Saint Anne kwa msiba mzito uliokukabili, Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu. Apumzike kwa Amani Baba yetu.
Pole Sana ndugu yetu Saint Anne kwa Msiba.
Pole Saint Anne Mungu akitie nguvu usipoteze imani, moyo huuma, huzuni hujaa ila wakati ni dawa maana akili husahau.... na muda ukienda hata ukikumbuka uchungu na huzuni haviwi kwa kipimo kile.

Haya ndo maajabu ya Mungu, ukimtegemea na kumuamini hakuachi. Roho, nafsi, utashi na akili ukijumlisha na moyo ndo utu na ndo mwanadamu.....

Linda sana moyo wako, maana ndiko zitokako chemchem za uzima.

Nawaombea mmalize shughuli za mazishi salama kwa amani na upendo. Pole nyingi zifikishe kwa familia pia.
Pokea kumbato la faraja kwa namna ya rohoni kutoka kwa bibi Kasinde.

Pole sana Anne.
Pole sana Saint Anne kwa msiba! Mungu akupe faraja na amani katika kipindi hiki kigumu.
Amen[emoji24][emoji120]

Asanteni sana kwa faraja hii mnayonipa.

Nikiwa Kama binti mdogo na mtoto wa mwisho wa mzee,naumia kumpoteza baba yangu[emoji24]

Hii faraja mnayonipa ni baraka mno kwangu.

Mungu awabariki na pokeeni picha za trip yangu ya msibani.
20210601_080000.jpg
20210601_093034.jpg
20210601_095646.jpg
 
Amen[emoji24][emoji120]

Asanteni sana kwa faraja hii mnayonipa.

Nikiwa Kama binti mdogo na mtoto wa mwisho wa mzee,naumia kumpoteza baba yangu[emoji24]

Hii faraja mnayonipa ni baraka mno kwangu.

Mungu awabariki na pokeeni picha za trip yangu ya msibani.View attachment 1806220View attachment 1806221View attachment 1806224
Pole sana Saint Anne ....we know the situation which you are going through

... daughter's love to her daddy is special and endless....Mungu awavushe salama..
 
Back
Top Bottom