Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Vizuri,ila tafadhali usiendeshe kwa yale mambio yako km ndugu yake Schumacher..... Na pia nakuomba zisiwe safari za mapopo..... Huyo kitindamimba bado anahitajika
😀😀😀 Atakuwa anaendesha yeye, na hivi tutakuwa kwenye ka gari kapya.. akiendesha itakuwa salama zaidi maana naujua mguu wangu unawasha.. washa
 
Back
Top Bottom