RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #5,261
Jana nimekutana na rafiki sijamuona miaka kama minne hivi. Siku ya mwisho tunaonana alikuwa na Nissan Fuga 250GT. Jana nimekuona nayo nikamuuliza wewe hii gari bado unayo tu akaniambia ninayo na iko njema balaa.....kusaka tonge la familia this morning..
Fog kiasi...[emoji2414][emoji2415][emoji2415][emoji2415]View attachment 1804415
Nikamwambia mbona wengi wanasema mbovu sana hizi, akasema hii unavyoiona inasoma km297,000 na aliinunua ikiwa na 65,000km! Kazungukwa nayo nchi nzima na bado ndio tegemeo lake la safari. Kwahio ndugu zangu wa Toyota waache maneno Yao gari fulani mbovu blah blah cc ISO M.CodD