Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Daah kweli aisee mchana tochi nyingi! Ila nakumbuka kuna siku tuliwahi piga road trip ya usiku Kyela - Dar tulitoka Kyela saa 12 jioni saa 12 asubuhi tuko Mbezi so tulitumia masaa kama 12 hivi!Kwa mujibu wa Tanroad
Dar - Mby 822km
Dar - Mwz 1152km
Hivyo utofauti ni kama 330km (approx umbali wa Dar - Muheza)
Ukitaka ufaidi safari ya Dar-Mby tembea usiku, ukiwa na gari nzuri ni safari ya masaa 7 hivi hadi 8, ila kama si mzoefu tembea mchana utumie masaa 13 au zaidi
Nakumbuka Kitonga tulipita saa 6 za usiku! Ila tulikuwa na Voxy!