Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa mujibu wa Tanroad
Dar - Mby 822km
Dar - Mwz 1152km

Hivyo utofauti ni kama 330km (approx umbali wa Dar - Muheza)

Ukitaka ufaidi safari ya Dar-Mby tembea usiku, ukiwa na gari nzuri ni safari ya masaa 7 hivi hadi 8, ila kama si mzoefu tembea mchana utumie masaa 13 au zaidi
Daah kweli aisee mchana tochi nyingi! Ila nakumbuka kuna siku tuliwahi piga road trip ya usiku Kyela - Dar tulitoka Kyela saa 12 jioni saa 12 asubuhi tuko Mbezi so tulitumia masaa kama 12 hivi!

Nakumbuka Kitonga tulipita saa 6 za usiku! Ila tulikuwa na Voxy!
 
Huwa tunakuja mama...

Na raha ya MB ukiwa warudi jiji la Makamba lazima uzame Kiwira pale kwenda kuchukua mikungu kadhaa ya 'matoke', mtindi kwa wale wamama Kiwira town, then wasogea Kabwe kubeba mchele, Uyole kuchukua parachichi...

Raha ya MB ni misosi, kuna raia wanaweka nyama za mafungu pale Nanenae, kama ni mroho wa nyama utakula hadi ukinai, au kuna chocho fulani Soweto/Mama John pale, kuna raia wana kaanga mdudu hatari...

View attachment 1799833
Mbeya nimepiga sn trip nilishatoka dom saa 12 jion saa 7 ucku nipo mby afu nkaunga mpk chunya.pale town kituo ni savoy g house mafiat mwendo wa [emoji200][emoji482]
Karibuni tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza [emoji15][emoji15][emoji15]... Natoka dar alfajiri saa 2 usiku nipo mwanza ... tena huwa napitilizia kula bata kama sio the cask basi uswazi diamond (napenda yale masato yao na palivyo changamka, nakaa napiga na maji hata lita tatu maana wengine alcohol hatuijui) au bonasera ... narudi hotelin asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. japo sio mala zote huwa nafanya hivi.. hutokea siku nikiwa nimechangamka
Kuna siku nilitoka Dodoma saa 2 usiku saa 9 tukaingia Mwanza, moja kwa moja the cask. Na palikuwa pamewaka vibaya mno.
 
You can plan for Dar - Mombasa (via Tanga), utaweza iona Tanga yote utamiss tu kupita wilaya ya Lushoto, Korogwe...

Au pia unaweza safiri kwenda Kampala, Uganda na vile wewe ni mtu wa mishemishe unaweza pata chimbo la kibiashara huko (huwa naona raia wanaenda UG kuexplore machimbo, dunno what's good out there)...

Au kama wataka safiri ndani ya Tanzania, Dar-Kigoma or Dar-Musoma or Dar-Bukoba zaweza kuwa safari nyingine ndefu...
ofcourse ni kwa ajili ya kurefresh na kuexplore new opportunities
kwenye biashara nakutana na watu wa nje ya TZ wanadai sisi ni waoga sana kusaka fursa nje ya Tanzania
 
You can plan for Dar - Mombasa (via Tanga), utaweza iona Tanga yote utamiss tu kupita wilaya ya Lushoto, Korogwe...

Au pia unaweza safiri kwenda Kampala, Uganda na vile wewe ni mtu wa mishemishe unaweza pata chimbo la kibiashara huko (huwa naona raia wanaenda UG kuexplore machimbo, dunno what's good out there)...

Au kama wataka safiri ndani ya Tanzania, Dar-Kigoma or Dar-Musoma or Dar-Bukoba zaweza kuwa safari nyingine ndefu...
Mombasa ni karibu sana. Muda wa lunch anakuwa kashafika.
 
Back
Top Bottom