Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii kuna namna yakeKapime tu kama unahitaji kweli kusafiri
Nilijua tu. Wala hutumii nguvu.hio kama ulikuwepo ni yakupunguza usumbufu barabarani. Wakinisimamisha tu mm huwa napaki kwa mbele ili anayokuja hivi anasoma kama utaona ananipa ishara ya kuondoka wala haji tena. au saa nyingine wananiuliza aisee hiki chombo cha kwetu au? Nawaambia chombo chetnu hiki. basi wananiruhusu. Saaa nyingine wananisimamisha na kusma aisee gari kali sana hili hauliuzi. wameshanizoea barabarani njia ya dar mwanza and dar arusha hadi wale maaskari wa usiku wa doria wakiniona tu wanairuhusu, hahahahahhaahha. Nishapigiwa sana saluti kis ahio Cover na mm nilikuwa nazipokea.hahahhahhahha
Unataka kulala njiani au route ya moja kwa moja?ooh okay nataka mbali nisafiri mpaka viungo vikose ushirikiano
kulala hata siku mbili hiviUnataka kulala njiani au route ya moja kwa moja?
Hapo lazima utoke nje ya nchi. Lusaka, Windhoek e.t.ckulala hata siku mbili hivi
Sasa miwani ya urembo, na anavaa kichwani, sio ubishow? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh kwani miwani ni ubishow? Siwezi kutoka bila shades
[emoji1635][emoji120]Khaa!
Asante kwa ma upendo kama yote
like za kumwaga
Mwanza me hua nakiwasha Diamond au Bundersliga buzuruga, misungwi kituo ni ndinga bar ama gwambinaKuna siku nilitoka Dodoma saa 2 usiku saa 9 tukaingia Mwanza, moja kwa moja the cask. Na palikuwa pamewaka vibaya mno.
[emoji120][emoji120]
Nimeshafanya sana route za hukoSijaona anayetaka kupiga trip ya Mbeya,Songwe.
Hakuna anayevutiwa kutembea huko.?
Mwenyeji wenu nipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh masaa 7 hadi 8 Dar - Mbeya [emoji848]Kwa mujibu wa Tanroad
Dar - Mby 822km
Dar - Mwz 1152km
Hivyo utofauti ni kama 330km (approx umbali wa Dar - Muheza)
Ukitaka ufaidi safari ya Dar-Mby tembea usiku, ukiwa na gari nzuri ni safari ya masaa 7 hivi hadi 8, ila kama si mzoefu tembea mchana utumie masaa 13 au zaidi
Sasa ndio naconnect na matumizi yake ya Nissan V8 lile toleo jipya. Kumbe he has been Nissan 'die hard fan' since ages. Nafikiri kati yake na Eddo Mamvi kuna mmoja aliyemwambukiza mwenzake, Edo was among the very first Tanzanians kumiliki hii chombo ilipotoka tuMzee Kikwete zamani sana (early to mid 90's) alikuwa na mashine kama hii, sijui kama angali anayo...
Miraj, Sele Kikwete wazee mlitutesa sana kitaa cha Migombani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Iringa Mbeya kwa usiku ni chini ya dk 180 ukitembea wastani wa 140kph tuEeeh masaa 7 hadi 8 Dar - Mbeya [emoji848]
Figuring out;
Dar - Moro 2 Hrs
Moro - Iringa - 2.5 Hrs
Iringa Mbeya 3 Hrs?
Hebu nivunjie namna unavyotoboa within that short time Mzee Baba
Ndio maana Maxi nimeweka hizo 180Mins kwa anayemwaga moto mwanzo mwisho na kufukia matuta ya Tanangozi, Rungemba, Ifunda sijui Nyololo kote huko [emoji23][emoji23]. Kumbuka Ir - Mby ni parefu kidooogo (334Kms) than Moro - Ir (300Kms) only advantage ni Ir - Mby mkeka wake ni mtamu zaidi kuliko Moro - Iringa.Iringa Mbeya kwa usiku ni chini ya dk 180 ukitembea wastani wa 140kph tu
Mzee umenikumbusha mbali hapo, huwa wanauza kuku wa kienyeji na ugali wa mihogo (Lowe) wanafunga kwenye Jani za mgomba.Panaitwa "Chalinze" kama sikosei, katikati ya msitu huko Mpanda - Uvinza rd. Kuku choma, Nyama choma bei nafuu sana hapo! Wakimbizi walowezi kibao maeneo hayo.
Nikaliona moja ya basi ya kampuni kongwe Rukwa - Katavi - Tabora - KigomaView attachment 1800195
Dar - Iringa 4.5hrs, distance 490km approxEeeh masaa 7 hadi 8 Dar - Mbeya [emoji848]
Figuring out;
Dar - Moro 2 Hrs
Moro - Iringa - 2.5 Hrs
Iringa Mbeya 3 Hrs?
Hebu nivunjie namna unavyotoboa within that short time Mzee Baba