Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama unajijua una matatizo ya usingizi night hakikisha umelala vya kutosha mchana. Jifosi yani uamke mida ambayo ndio utajiandaa na kuanza kutoka.

Lets say ulale saa 8 mchana hadi saa 1 jioni hivi. Kisha ndio unaoga na kwenda kukalia usukani. Sio mchana kutwa unashinda pilikapilika halafu jioni unataka uwashe gari utembee more than 8 hrs barabarani.
 
Good for you.
 
Yes yes. Wanakutengenezea buree. Kuna sehemu ya Moto ulitaka kuchoma mwenyewe
Itakuwa waletewa hadi chumbani
Kumbe ni hizo qwio qwio na mabroiler
hapana mm nataka zile za kisambaa za kufunika na mablnket baridi huko kwa kina Shem....zigo she mka... shem...aho sio nikaingie kwenye moto wa mkaa
basi ngoja niende Majani Mapana Tanga yalikoanzia maLove
😀😂😍😍😇
 
Hakuna kitu kibaya kama usingizi.

Majuzi nilikuwa natoka Arusha kwenda Moshi ilikuwa asubuhi sana.

Nikawa nasikia usingizi mpaka kuna saa nikayumba kidogo, yale magari ya kutoka Moshi kwenda Mwanza wakanipigia honi.

Nikapaki maeneo ya Kikatiti nikanawa uso. Nikaendelea kwa kujikaza, nikafika hapo Hugos nikapaki nikala usingizi mpaka saa 7 mchana. Nikala nikaamsha Dar.

Siku hiyo nilijua jinsi ilivyokuwa rahisi kufa kwa ajali.
 
Halafu huwa sipendi makelele kabisa hata iwe mziki, redio n.k.

Hata radio ya gari huwa nazima.

Nasikilizia upepo wa AC tu.
 
Usiku ni hatari sana ndugu....nakushauri tu...lala walau anza safari utakapoamka hata kama ni saa tisa,walau labda iwe muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…