So umeweza establish nini chanzo cha hiyo dhahama? Why specifically that tire? Ulimanage kusimama baada ya umbali gani tangu ubaini mambo yameshaharibika [emoji848]Huo msemo upo sahihi kabisa mkuu.. ingekuwa hapo gari za mjepu.. huenda sasa hivi ingekuwa habari ingine. Hata mafundi wenyewe walikuwa wanasema pale ingekuwa kama hizi gari zetu pendwa (mjepu), habari ingekuwa ingine kabisa.
Huo msemo upo sahihi kabisa mkuu.. ingekuwa hapo gari za mjepu.. huenda sasa hivi ingekuwa habari ingine. Hata mafundi wenyewe walikuwa wanasema pale ingekuwa kama hizi gari zetu pendwa (mjepu), habari ingekuwa ingine kabisa.
So umeweza establish nini chanzo cha hiyo dhahama? Why specifically that tire? Ulimanage kusimama baada ya umbali gani tangu ubaini mambo yameshaharibika [emoji848]
Chanzo, nahisi.. kuna sehemu nilipiga shimo ikapata pancha ikawa inatoa mdogo mdogo, na sikuwa nimejua + mwendo kasi 220, 240 to 260.. + lasta . Ila sina hakika 100 hizo ni hisia tu. Bridgestone ni tire bora kabisa tena sana. Umbali ni kama mita 200.. maana ilikuwa kwenye 260 mda huo.. nashukuru Mungu, alinijalia kuwa mtulivu hadi naenda pakiSo umeweza establish nini chanzo cha hiyo dhahama? Why specifically that tire? Ulimanage kusimama baada ya umbali gani tangu ubaini mambo yameshaharibika [emoji848]
Tire niliangalia brand na zilivyo kwenye hali ya upya siku zichunguza sana, hata Extrovert alizikubali sana, maana nilikua nae wakati naenda ichukua, nahisi zime expire na hatukuangaliaHat off! Nimekubali mzee baba. Chuma za mzungu ni next level!
Angekuwa mjepu, pengine muda huu usingekuwa unaclick uzi huu saahivi.
'Usalama, Nguvu, Comfortability' ni kwa mzungu tu. Kwa mjepu mbwembwe.
Imagine at 260KPH tyre inaburst! Chuma inasimama fresh bila myumbo wowote. Unashuka unachungulia, unabadili tyre, unakanyaga wese!
Siku nikizipata, ni kuvuta mnyama VW Golf GTI ili nisage lami at 200KPH bila hofu yoyote!
By the way, nini chanzo cha tyre kuungua? Nakumbuka hiyo chuma umeimenya juzi kati tu hapo. Je ulibadili tyre mpya kabla ya hiyo test long trip? How about tyre speed rating?
-Kaveli-
Sure na ndio naenda zivua zote niweke Michelin zitanifaaInawezekana umetumia tyres ambazo hazijawa recomended na speed uliotembelea. Ile stress ikasababisha kupasuka.
Nadhani kwa speed ya above 180kph unatakiwa uanze kuzoea kutumia;
Michelin Pilot Super Sport 4 S au Pirrel P Zero.
Tire niliangalia brand na zilivyo kwenye hali ya upya siku zichunguza sana, hata Extrovert alizikubali sana, maana nilikua nae wakati naenda ichukua, nahisi zime expire na hatukuangalia
Upo sahihi mkuu. Maana pale kingeweka huenda nisingekuwa nina type hapa 😀😀😀😀Binafsi nina wasi wasi na mambo matatu kwenye hiyo incident yako Mkuu:
1) Expired tyre.
2) Low speed rating ya tyre Vs 260KPH.
3) Low temperature rating ya tyre.
Kama uliipokea gari kutoka ughaibuni na instantly kuamsha long trip pasipo kukagua kwanza viwango vya trye zake, ni deadly negligence ulifanya!
That was a fatal incident! Mshukuru Mungu umetoka salama.
Gari za mzungu zitaendelea kutamba tu.
-Kaveli-
Na hata ukikosa hizo michellin unaweza tafuta hata zingine za mzungu zenye recomendation ya speed above 260kph.Sure na ndio naenda zifua zote niweke Michelin zitanifaa
Wewe ni mashineUpo sahihi mkuu. Maana pale kingeweka huenda nisingekuwa nina type hapa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama unatembea above 180kph kwa muda mrefu hata tairi za kichina hazikufai. Inabidi uweke hizo hizo Bridgestone,Pirelli au DunlopTire niliangalia brand na zilivyo kwenye hali ya upya siku zichunguza sana, hata Extrovert alizikubali sana, maana nilikua nae wakati naenda ichukua, nahisi zime expire na hatukuangalia
Nimepokea na ninatekeleza mkuu wangu.Mkuu achana na huo mwendo Tz hamna autobahn. Gari ina uwezo,wewe Una uwezo ila barabara si rafiki.
😀😀😀 mkuu tunatafuta ugali uende kinywani . Wanasema liziki ya mtu ipo miguuni pakeWewe ni mashine
Mwanza Tabora Dodoma leo leo?
naitazama hiyo jiografia, nasema hiii!
Hiyo burst tyre ni mambo ya kawaida kwa tunaoenda speed hizo ndogo 220kph 240kph na 260kph
Uzuri pale kati ulipaenda kwa step
Upo sahihi mkuu. Maana pale kingeweka huenda nisingekuwa nina type hapa 😀😀😀😀
Matairi ndio yananipa speed limit, kuna mwendo nikifika tu nakumbuka matairi yangu hayana guarantee!After two days tungeanza kuulizana hapa "huyu mwamba wa long trips mbona hatoi tena zile updates zake? ama tayari ameshajoin the 'holy space'?"
Kwa mtu mwenye long trips za kibabe at high speed, zingatia sana EXPIRY DATE, TEMPERATURE RATING, na SPEED RATING, kwenye tairi zako unazonunua.
Endelea kusaga lami mkuu. Enjoy the long trips.
Mguu kulia. Mguu kati.
-Kaveli-