mwendazake-ndago
Member
- May 26, 2021
- 96
- 723
SAFARI NA MUZIKI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye AMG G63 Roho yangu imetikisika. Naomba Sana Mungu anifikishe uwezo wa hiyo mashineHizo bado sanaaa... mkuu, naamini nikifikia uwezo wa kununua kama hiyo, basi nitaenda moja kwa kwa Ferrai f12 [emoji23][emoji23][emoji23] au AMG G63
Porsche V8 GTS tafadhali.Hii corona imetumaliza mkuu
Nimemiss sana Silverstone ila wanafungua mwezi wa 8 kwa ajili ya F1 na bei zimekuwa juu sana
Gari zipo ila huwezi kujiachia kama huko
Hapa ipo Porsche GTS V8,
Benz C300, Range na Golf GTi chaguo lako View attachment 1811167
Na wakikujua ni mgeni, utawapelekea moto mpaka uwakimbie.Watoto wale wamefundwa..hawajui kunyima tamuu..[emoji16][emoji16][emoji16]
Porsche V8 GTS tafadhali.
Tupambane kila kitu kinawezekana mkuuHapo kwenye AMG G63 Roho yangu imetikisika. Naomba Sana Mungu anifikishe uwezo wa hiyo mashine
Hiyo 2.0 fsi ni gari haswaaUnasema?!! Hio ni 2.0fsi au 1.8T ?
Duuh aiseee. On my bucket list.Kitonga na Nyang'oro pamenyooka hivyo!
Siku pita Sumbawanga kwenda 'Bondeni' Muze ndio utajuwa Nyang'oro, Chunya Mby rd na Kitonga zote zimenyooka tu!
(Fuso unachekecha kukata kona! Gradient / nyuzi pembe za mwinamo ni almost 40 degree)
Hatari sana nja hiyo.
Mwendo wa 20l/100km.4.8 halafu petrol
Inavuta haswa
Muungurumo wake tu ni mziki tosha [emoji23]
Haya mkuu ngoja nikuandalie
Na Mara nyingi huwa naiona kwenye golf tunaziitaga new model na kwa nini huwa zimechangamka beiHii ni 2.0 engine isio na Turbo. Ipo kwenye Golf na Audi.
Hazina bei ya kutisha. Kununua si ghali ni kama Toyota tu ila kuishi nayo ndio inabidi senti ziwepo kwasababu shocks kuambiwa 600,000 ni kawaida sanaNa Mara nyingi huwa naiona kwenye golf tunaziitaga new model na kwa nini huwa zimechangamka bei
Kwa pair au kwa moja?kwa hali hiyo inawezekana jamaa alikuwa anatafuta heshima kwangu........at 2018 alichukua kwa 29millsHazina bei ya kutisha. Kununua si ghali ni kama Toyota tu ila kuishi nayo ndio inabidi senti ziwepo kwasababu shocks kuambiwa 600,000 ni kawaida sana
Pair.
Sawa na kwa Suzuki huwa inaliwa kiasi hicho Cha pesa,uzuri ni kuwa zinadumu.....ila kwa Toyota nyingi ni service ya miguu yoote na chanji inabakiPair.
Hizi VW Audi BMW kama uliwahi kumiliki gari nje ya Toyota hutaona zina gharama sana. Hata Subaru bei ya parts kama za VW na Audi tuSawa na kwa Suzuki huwa inaliwa kiasi hicho Cha pesa,uzuri ni kuwa zinadumu.....ila kwa Toyota nyingi ni service ya miguu yoote na chanji inabaki
Naona na Suzuki escudo inaingia kwenye category hizoHizi VW Audi BMW kama uliwahi kumiliki gari nje ya Toyota hutaona zina gharama sana. Hata Subaru bei ya parts kama za VW na Audi tu