Nyie watu hebu acheni balaa.Aisee karibu sana ila hakikisha umetia viatu vipya mzee katika chombo. Usitie Goodride tu utafeli hapo ni Pirelli ama Michelin za mwaka huu huu! Kwa speed za kufuta sahani 260kph tutakuwa salama kwa muitaliano ama mfaransa tu!
Hahahah kaka kidude kinashawishi sana af ile mambo ambayo mzungu amefanya kuweka quattro ni full umeme apo road! My love for Audi has come into life 😅😅😅Nyie watu hebu acheni balaa.
Mpiga picha alikuwa Extrovert ?Tabora moja hiyo 😀😀😀View attachment 1813237
Dar mpaka Musoma kwa IST itafika kweli?
Duh siku moja ni saa 24 mkuu
Hahahah kaka kidude kinashawishi sana af ile mambo ambayo mzungu amefanya kuweka quattro ni full umeme apo road! My love for Audi has come into life 😅😅😅
Hahahah kidude!Imagine kiatu kinaburst at 260KPH afu chuma bado imeatamia lami fresh tu.
Mzungu anatoa gari.
Mjepu anatoa chombo cha usafiri.
-Kaveli-
Inafika vizuri sana, amka mapema alfajiriDar mpaka Musoma kwa IST itafika kweli?
Safiri salama....usisahau picha za green viewsFull loaded kuitafuta Arusha, mda siyo mrefuView attachment 1814017
Hahaaa kivipi na wewe ndiyo mambo yako nini hayoHahahah unatufaa wewe 😅😅😅
All the best.Road trip zangu panapo majaliwa kuanzia mwakani nikipata Pick up "Bakkie" iwe Nissan Hardbody au Toyota Hilux Single Cabin kwa mwezi itanilazimu kutembea +4000km. Dar-Mwanza-Musoma-Bukoba-Kampala-Kisumu-Kigoma-Rukwa-Mbeya-Songea Nyasa-Lindi-Mtwara-Pwani-Tanga-Dar.
Katika kupambana na fursa hapa Tanzania itanilazimu niwe napita kwenye maziwa na bahari, gari siti mbili za mbele zinatosha vingine anasa.
Tutawanyike kwenye uso wa dunia tukatafute riziki.
Hizi ndo gari za kununuaGari haikucheza hata kidogo wala kuyumba zaidi ya ile kujua kimenuka kwenye tire na ipo na upya wake
Kiongozi ile jesta ya pale mlimani city siku hizi siioni au umeshichukuaNikajua umehamia kwenye IST ungezingua sana! Ila kwa MAJESTA ni Nuff Respect! Umeme huo naukubali sana comfortability na mwendo at the same time