Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Dar mpaka Musoma kwa IST itafika kweli?
Inafika vizuri sana, amka mapema alfajiri

Jioni ya saa 12 ikukute Mwighumbi, junction ya Mwanza/Simiyu
mkeka umetulia ule yange yange hawatakuwepo muda huo

Kamua, mida ya saa 5 usiku upo Musoma ila tu kama ile mitaa ya manyamanyama na bitaraguru ikiwa wameacha ujinga wao
 
Full loaded kuitafuta Arusha, mda siyo mrefu
20210610_110512.jpg
 
Road trip zangu panapo majaliwa kuanzia mwakani nikipata Pick up "Bakkie" iwe Nissan Hardbody au Toyota Hilux Single Cabin kwa mwezi itanilazimu kutembea +4000km. Dar-Mwanza-Musoma-Bukoba-Kampala-Kisumu-Kigoma-Rukwa-Mbeya-Songea Nyasa-Lindi-Mtwara-Pwani-Tanga-Dar.

Katika kupambana na fursa hapa Tanzania itanilazimu niwe napita kwenye maziwa na bahari, gari siti mbili za mbele zinatosha vingine anasa.

Tutawanyike kwenye uso wa dunia tukatafute riziki.
 
All the best.
 
Back
Top Bottom