Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Shukrani mkuu kwa angalizo. Nimepona sehemu mbili j3 hii njia ya tegeta na kabla tu ya kuingia kibamba
 
Mkuu shukrani kwa muongoza, nimefika salama.
Nimekuta sehemu nyingi wanarekebisha barabara, kunasehemu kulikua na mashimo ya kushtukiza hatari
 
Another Inspiration
 
Amen
 
Mkuu Holy man naomba 'uitest' Audi A 4 trip ya dar_dom kwa kumaliza kisahani,halafu tuambie utatumia muda gani?last time ukiwa na subaru ulitumia 4:30HRS.
Hii test yake nzuri mchana, usiku nitaiua gari ipo chini sana na sipendagi modification ya kunyanyua gari . Na mchana itabidi kujipanga sana kukabilina na trafic. Ila nilitest NZEGA to TBR kuna 127 km, nimetumia dk 30 .. kipande kizuri sana kilehakina tuta wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…