Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna ndororo pia kama unaenda mahenge.ni nouma kama unapiga u turn.sijawahi kuona semi kule maana kuna kona ya hatarh halafu mlima ni mkali
We unasema Semi (trailer)!!!

Sumbawanga - Muze hata basi tu la kawaida halipiti, ni fuso vipisi (short chassis) labda basi kama zile yutong fupi ndio inaweza kwa kuchekecha

#nyuzi za kona na nyuzi za mwinamo baadhi ya sehemu zinatisha kinoma.
 
Hii mkuu....ya mwaka 1998..[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Hivi kweli natoa hela yangu duniabya sasa naagiza hii 3S Japan..?

Hata hivyo nilivyomsoma yule mtu, lazima ni mstaafu..View attachment 1818888
Labda alishajiapiza akipata mzigo lazima akae humo, na waweza kuta sedan yake iliyopo kwake ni 'baluni' [emoji4][emoji4]
 
Hii mkuu....ya mwaka 1998..[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Hivi kweli natoa hela yangu dunia ya sasa naagiza hii 3S Japan..?

Hata hivyo nilivyomsoma yule mtu, lazima ni mstaafu..View attachment 1818888
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata km mstaafu bhana lol, afu hapo mke na mchepuko wake watakua wanaji mwaya mwaya "babe/mume ana gari" jamani khaaaaah.
 
We unasema Semi (trailer)!!!

Sumbawanga - Muze hata basi tu la kawaida halipiti, ni fuso vipisi (short chassis) labda basi kama zile yutong fupi ndio inaweza kwa kuchekecha

#nyuzi za kona na nyuzi za mwinamo baadhi ya sehemu zinatisha kinoma.
Aiseee basi hata Chunya sidhani kama mabasi makubwa ya abiria yanaenda compared to Tunduma na Kyela ambako huwa yanaenda mengi tu. Na mwendo ni wa almost masaa yale yale kutoka Mbeya kwenda kwenye hizo wilaya zote tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…