Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Road ya Mbeya to Musoma ikojee kwa sasa baadae nataka niingiie road by saa 18:30Pm
Mbeya - Igawa (panachosha)

Igawa - Iringa (pako vizuri sana)

Iringa - Dodoma (shwari lakini tahadhari ya ziada baaadhi ya sehemu na matuta pia)

Dom - Singida (wewe tu)

Singida - Nzega (wewe tu)

Wengine wasaidie kutokea hapo maana kuna kupitia Mwanza na kwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…