Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Road ya Mbeya to Musoma ikojee kwa sasa baadae nataka niingiie road by saa 18:30Pm
Mbeya Iringa hakuna jipya, wewe tu. Iringa Dodoma imeharibika kiaina kuna mahandaki mazito sana. Dodoma Shinyanga hakuna jipya. Ukifika Tinde ingia kulia ukatize Maswa na Bariadi utokee Lamadi uibuke Musoma. Njia nzuri na fupi. Ya mwanza mbaya mno
 
Hilo eneo linavutia sana
Pana view nzuri kupiga picha.
20210619_092828.jpg
 
Back
Top Bottom