ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Wapi hiyo mkuu? Ushafika cate hotel?Kituo cha kwanza naona mie itakuwa Cate hotel pale.. Tutakutana tu leo [emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hiyo mkuu? Ushafika cate hotel?Kituo cha kwanza naona mie itakuwa Cate hotel pale.. Tutakutana tu leo [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha shukrani
Sikutoka mkuu baridi hahaha [emoji23][emoji23]Hivi ile ya Bambalaga juzi hamkuonana? Haya leo hakuna namna yapasa mpate kahawa pamoja kabla ya kuingia town. 'Anayechechemea' atafahamika pia leo
Shukrani nilikuwa Moro kwa mshkaji sasa naendeleaSafari njema.
Dom bossNanenane ya Dom au Mby?
Mbeya Iringa hakuna jipya, wewe tu. Iringa Dodoma imeharibika kiaina kuna mahandaki mazito sana. Dodoma Shinyanga hakuna jipya. Ukifika Tinde ingia kulia ukatize Maswa na Bariadi utokee Lamadi uibuke Musoma. Njia nzuri na fupi. Ya mwanza mbaya mnoRoad ya Mbeya to Musoma ikojee kwa sasa baadae nataka niingiie road by saa 18:30Pm
Utaniona tena mkuu, moro nilikuwa na stopMkuu nilikuwa nimepaki sehemu mnyama fuga akanipita siwezi mkuta tena maana nimekaa hapa nusu saa[emoji23][emoji23]
Hahhahhahaha mkuu daah [emoji23][emoji23]Hivi ulifanikiwa kuipita hiyo vx CRA kwelii maana ulikuwa unamkimbiza[emoji23][emoji23]
Pana view nzuri kupiga picha.Hilo eneo linavutia sana
Akina Holy Man wanafaidi sana.Kuna watu wanafaidi hii nchi...sisi wengine kazi zetu ni za kufungiwa hapo hapo...[emoji119][emoji119][emoji849][emoji849][emoji849][emoji119][emoji119]
Iringa_Dom vile viraka[emoji119]Mbeya Iringa hakuna jipya, wewe tu. Iringa Dodoma imeharibika kiaina kuna mahandaki mazito sana. Dodoma Shinyanga hakuna jipya. Ukifika Tinde ingia kulia ukatize Maswa na Bariadi utokee Lamadi uibuke Musoma. Njia nzuri na fupi. Ya mwanza mbaya mno
Aisee! Uko ndani ya Quattro....Pana view nzuri kupiga picha.View attachment 1823660
Nipo hapa napata mambo yangu, hadi saa 11 ndio naanza kuja darWapi hiyo mkuu? Ushafika cate hotel?
Leo nimegundua kwa ajili gani sipendi safari..Aisee! Uko ndani ya Quattro....
Nipo hapa morogoro hadi saa 11Nikifika Moro ntakucheki
Jamaa wanaweza kufikiri wewe ni mkazi wa Forest unapita hapo kupata kahawa kila jioni!😎😎😎Nipo hapa napata mambo yangu, hadi saa 11 ndio naanza kuja dar View attachment 1823668
Wameisha nikalili wakiniona tu, wanajua nataka nini 😀😀😀Jamaa wanaweza kufikiri wewe ni mkazi wa Forest unapita hapo kupata kahawa kila jioni!😎😎😎