Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Eneo hili kuna matrafic wadada hivi kila nikipitaga hapo nikiwa zangu Masafa hunipiga chet kwa sababu ya Kuzidisha speed, awamu ijayo wakinipiga mkono tena napanga niombe Namba, Shachoka mie
Yaani zaidi ya mara 1 na hawajawa maswahiba tu? Na risiti ya 'kubetishwa' inakuachia na jina lake kabisa, yaani ilipaswa safari iliyofuata ukisimamishwa tu salamu na kuwaulizia kwa jina iwapo hayupo kama yupo unamuadress kwa jina straight umsalimiapo. Hii inasaidia kumkata maini anaona aah kumbe tupo wote road huyu, unawaachia hela ya brush mwendo
 
Unapita Kwediboma unaenda hadi Kibirashi unakutana na Junxtion ya kukupeleka Kiteto uko sahihi mkuu
Lakini pia unaweza kwenda moja kwa moja hafi Kilindi mjini ukapitia vijiji vya Mafulila ukatokea Gairo
Vumbi la huko sio la kitoto. Wakati wa mvua ni hatari. Basi zinatoka dar saa 12 asubuhi zina fika kilindi sita usiku. 120km handeni - kilindi vumbi.
 
Nani anipe kampani twende chogo-handeni kwa machotara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…