ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Naam, chuma imeivaBeyond 180Kph, night speed, [emoji3544]
Movement za object nyingine uelekeo huo huo zinakuwa kama hazijongei.
Safely arrived at 3rd destination.View attachment 1830317
Lami iendeleeNawasalimu kwa jina la road trip, [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole na safari mkuu. Yes gps speedometer za simu zinasaidia kama gari haina speedometer. Mfano app inaitwa DigiHUD unaweza kuiset ipige alarm ukivuka 50Mrejesho... wa gari lisiilo na speed o meter na halichanganyi mwendo haraka.
Nnilitoka dar saa 10:47 usiku- kupitia msoga nikafika moro saa 2:14. Nimeondoka moro saa 2: 55 baada ya kula vichwa vya kunipa company...nimefika dom saa 6:17 asubuhi. Top speed ilikua 110 ndo uwezo wa gari unapo ishia... Kwa kutumia app ya simu yenye speed o meter.
Kwa mtazamo wangu njia ya msoga ni ndefu kulinganisha na njia ya baobab kutokea mile 1. Yote kwa yote nimefika salama na mshukuru mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lami iendelee
Aston martin nazo ni minyama kweli kweli, sema ndio ivyo bongo nyoso 😀😀London- Manchester
Naona mbele yangu Aston Martin DB9 View attachment 1830721
Hii njia sasa inabidi iwe dual carriageway...it's too busy.Yani kuna sehemu unaona kabisa hapa naweza kupita, tena very safely, nikaendelea na safari. Ila ukiwaza itakucost shs ngapi unatulia kinyonge.
Unaweza kumlaani aliyechora mistari na kuweka vibao barabarani.
M1,M40,M6?London- Manchester
Naona mbele yangu Aston Martin DB9 View attachment 1830721
Aston martin nazo ni minyama kweli kweli, sema ndio ivyo bongo nyoso [emoji3][emoji3]
Mkuu itakuwa nimekupita kwenye hiyo foleni mimi nilitanua kushoto mpk pale msamvu now nipo kondoaIla mnaosafiri usiku nawaelewa maanake foleni nimeanzia Ubena zomozi hadi Moro nyuma ya malori! Ukiovateki kijinga unakula cheti! Nimetumia masaa mawili Chalinze-Morogoro
Vyeti vuangu vilivyo vingi karibia 90% huwa napigwa chalinze..😀😀😀Ila mnaosafiri usiku nawaelewa maanake foleni nimeanzia Ubena zomozi hadi Moro nyuma ya malori! Ukiovateki kijinga unakula cheti! Nimetumia masaa mawili Chalinze-Morogoro
Hiyo njia ya baobab inaridhisha?Mrejesho... wa gari lisiilo na speed o meter na halichanganyi mwendo haraka.
Nnilitoka dar saa 10:47 usiku- kupitia msoga nikafika moro saa 2:14. Nimeondoka moro saa 2: 55 baada ya kula vichwa vya kunipa company...nimefika dom saa 6:17 asubuhi. Top speed ilikua 110 ndo uwezo wa gari unapo ishia... Kwa kutumia app ya simu yenye speed o meter.
Kwa mtazamo wangu njia ya msoga ni ndefu kulinganisha na njia ya baobab kutokea mile 1. Yote kwa yote nimefika salama na mshukuru mungu.
Barabara zataruhusu?[emoji23][emoji23]ipo siku zitatamba na huko
Ile njia ilitakiwaga iwe njia tatu au nne kutokea dar hadi morogoro.. ina elemewa kwasababu ndio njia kuu ya kupitisha gari zote za ndani ya nchi na nje ya nchiHikj kipande kinakera sana
Kuna siku nilipiga tuta hadi gari ilipaa juu, ilivyotua nikasema mchezo umeisha huu 😀😀😀😀. Cha kushukuru halikuzingua gari maana kwanza ilikuwa usiku sana na eneo hatarishiBarabara zataruhusu?
Matuta kama ya kupandia viazi.
M1,M40,M6?