Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

London- Manchester
Naona mbele yangu Aston Martin DB9 View attachment 1830721
London- Manchester
Naona mbele yangu Aston Martin Gari kama hili DB12 Aston Martin ilikamatwagwa pale Oysterbay police iliibiwa South Africa. yaani ni kama unavyoiona hapo ilikaa palekaribia miez 9 ilipigwa vumbi balaa roho ilikuwa inaniuma kinoma utafikiria yangu. sijui ikaendaga wapi? au sijui kama interpol waliichukua kuirudisha south.

London- Manchester
Naona mbele yangu Aston Martin DB9 View attachment 1830721
Gari kama hili lenyewe lilikuwa DB12 Aston Martin ilikamatwagwa pale Oysterbay police iliibiwa South Africa. yaani ni kama unavyoiona hapo ilikaa palekaribia miez 9 ilipigwa vumbi balaa roho ilikuwa inaniuma kinoma utafikiria yangu. sijui ikaendaga wapi? au sijui kama interpol waliichukua kuirudisha south.
 
Nao wanao amua kuiba gari kama hilo, na kulileta huku bongo hawana akili nzuri
 
Gari kama hili lenyewe lilikuwa DB12 Aston Martin ilikamatwagwa pale Oysterbay police iliibiwa South Africa. yaani ni kama unavyoiona hapo ilikaa palekaribia miez 9 ilipigwa vumbi balaa roho ilikuwa inaniuma kinoma utafikiria yangu. sijui ikaendaga wapi? au sijui kama interpol waliichukua kuirudisha south.

Duu aisee
Yaani hata kuiulizia kama inauzwa kwa mnada
Labda ilirudishwa kwa mwenyewe au iliuzwa
 
Gari kama hili lenyewe lilikuwa DB12 Aston Martin ilikamatwagwa pale Oysterbay police iliibiwa South Africa. yaani ni kama unavyoiona hapo ilikaa palekaribia miez 9 ilipigwa vumbi balaa roho ilikuwa inaniuma kinoma utafikiria yangu. sijui ikaendaga wapi? au sijui kama interpol waliichukua kuirudisha south.
Nasikia mwenyewe alikuja kuichukua.
 
Yani mzee yule kama mpaka sahivi kuna mtu hayarecognise mafanikio yake basi ana lale jambo

Jamaaa ana v8 mbili mkuu
Na hzo escalade mbili

Ni aslilimia chache sana bongo utakuta mtu ana parking valuable zaidi yake
Hii tunaitaga kukaza ubongo 😅 yani kukataana na ukweli ulio dhahiri! Jamaa pesa anayo kwa sasa wala si utani! Huwezi kumiliki Media house ambayo ndio ina market share kubwa ya matangazo kwa sasa halafu ushindwe kununua gari ya million 300! Its ridiculous😅 kwa mtu kupinga! Escalades 2 sio chini ya 500Ms
 
Watu ni wachawi japo hawatembei na tunguri 😀😀😀😀
 
Holy Man
IMG_20210626_181447_2~2.jpg
 
Hii tunaitaga kukaza ubongo 😅 yani kukataana na ukweli ulio dhahiri! Jamaa pesa anayo kwa sasa wala si utani! Huwezi kumiliki Media house ambayo ndio ina market share kubwa ya matangazo kwa sasa halafu ushindwe kununua gari ya million 300! Its ridiculous😅 kwa mtu kupinga! Escalades 2 sio chini ya 500Ms
Kama nilivyosema hayo magari ni very cheap ukinunua used brand new ndio shida. Kama hio Chrysler 300 c nilinunua dola elfu saba, na hio dodge nilinunua dola elfu nane mia tano na ile bmw ilikuwa dola 5000 na zote nikaingiza kwenye 40 feet container zote tatu. maana kutoka marekani huwezi kusafirisha gari ikiwa uchi lazima iwe kwenye container. na kusafirisha container mpaka tanzania dola 5000.

Kwahiyo hata hio escallade ukitaka ya 2017 au 2015 bado utainunua hata kwa dola elfu 25 mpaka 35 kwa bei nafuu. kama picha inavoonyesha hapo chini ni ya mwaka 2017. Pia wenzetu kila mwaka unavyoanza wanaacha gari ya mwaka uliopita. yaani gari nyingi barabarani ni za miaka minne au mitano nyuma.

Ila hio ndiga ya 2015 ikifika bongo utaiona kama brand new kumbe ishatumika balaa.

71DUucCN4dL._UY560_ - Copy.jpg
 
View attachment 1831071
Haya madude yamekaa kitemi, hata barabarani unaona unaendesha gari
 
Back
Top Bottom