Kama nilivyosema hayo magari ni very cheap ukinunua used brand new ndio shida. Kama hio Chrysler 300 c nilinunua dola elfu saba, na hio dodge nilinunua dola elfu nane mia tano na ile bmw ilikuwa dola 5000 na zote nikaingiza kwenye 40 feet container zote tatu. maana kutoka marekani huwezi kusafirisha gari ikiwa uchi lazima iwe kwenye container. na kusafirisha container mpaka tanzania dola 5000.
Kwahiyo hata hio escallade ukitaka ya 2017 au 2015 bado utainunua hata kwa dola elfu 25 mpaka 35 kwa bei nafuu. kama picha inavoonyesha hapo chini ni ya mwaka 2017. Pia wenzetu kila mwaka unavyoanza wanaacha gari ya mwaka uliopita. yaani gari nyingi barabarani ni za miaka minne au mitano nyuma.
Ila hio ndiga ya 2015 ikifika bongo utaiona kama brand new kumbe ishatumika balaa.
View attachment 1831071