Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mrejesho... wa gari lisiilo na speed o meter na halichanganyi mwendo haraka.
Nnilitoka dar saa 10:47 usiku- kupitia msoga nikafika moro saa 2:14. Nimeondoka moro saa 2: 55 baada ya kula vichwa vya kunipa company...nimefika dom saa 6:17 asubuhi. Top speed ilikua 110 ndo uwezo wa gari unapo ishia... Kwa kutumia app ya simu yenye speed o meter.
Kwa mtazamo wangu njia ya msoga ni ndefu kulinganisha na njia ya baobab kutokea mile 1. Yote kwa yote nimefika salama na mshukuru mungu.
Pole na safari mkuu. Yes gps speedometer za simu zinasaidia kama gari haina speedometer. Mfano app inaitwa DigiHUD unaweza kuiset ipige alarm ukivuka 50
 
London- Manchester
Naona mbele yangu Aston Martin DB9
IMG_1438.jpg
 
Mrejesho... wa gari lisiilo na speed o meter na halichanganyi mwendo haraka.
Nnilitoka dar saa 10:47 usiku- kupitia msoga nikafika moro saa 2:14. Nimeondoka moro saa 2: 55 baada ya kula vichwa vya kunipa company...nimefika dom saa 6:17 asubuhi. Top speed ilikua 110 ndo uwezo wa gari unapo ishia... Kwa kutumia app ya simu yenye speed o meter.
Kwa mtazamo wangu njia ya msoga ni ndefu kulinganisha na njia ya baobab kutokea mile 1. Yote kwa yote nimefika salama na mshukuru mungu.
Hiyo njia ya baobab inaridhisha?

Kukiwa na mvua je?
 
Back
Top Bottom