Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Barabara zataruhusu?
Matuta kama ya kupandia viazi.
Hawawezi kuelewa lakini ndio ukweli, njia inakera sanaIle njia ilitakiwaga iwe njia tatu au nne kutokea dar hadi morogoro.. ina elemewa kwasababu ndio njia kuu ya kupitisha gari zote za ndani ya nchi na nje ya nchi
Wanajua ukweli, ila wanatukazia tuHawawezi kuelewa lakini ndio ukweli, njia inakera sana
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Sema lakini pia atleast na bei zao pia zinareflectUbaya wa gari za marekani.
Engine kubwa, output ndogo.
Yani 6.2l v8 inakupa 420 hp wakati Merc Benz A 45s AMG ana 2l inatoa 421 hp.
Wamarekani wanawezana wenyewe.
mkuu lilie la simba sio v6 kweli lileEscalade yenye V8 6.2L ni yamoto kuliko hii Land Cruiser japo wamepishana horsepower kidogo sana! Escalade inamwaga 420HP wakati huu umeme wa Mjapani unamwaga 410HP so difference haitakuwa kubwa sana isipokuwa tu kwenye speed escalade ana 280 kwenye kisosi!😅😅😅 huku LandCruiser ana 260!
Ila Escalade ya V6 3.0L ni ya kitoto sana ina 277HP wakat landcruiser ya v6 3.0L inamwaga moto wa 310HP so Land cruiser ataiburuza escalade ya 6.2L
Mororogoro imenigomea viwanja vyake. Vimenikalia kushoto sanaHapa Moro kiwanja gani kizuri cha usiku?!
Ila kajitajidi, ukilinganisha na historia ya maisha yake alipotokeamkuu lilie la simba sio v6 kweli lile
Na kama ni v6 basi nahisi bei pia inashuka so linaweza kua cheaper nn
Nilijisahau mkuu hahahhaaha. halafu kufuta sijui hahahahahahaVyuma vya maana mno.
Ila kuna picha moja plate namba inaonekana mkuu. Angalizo tu.
Huenda kachukua la 6 bei itakuwa imepoa kiainamkuu lilie la simba sio v6 kweli lile
Na kama ni v6 basi nahisi bei pia inashuka so linaweza kua cheaper nn
Pale Sinza Mugabe kabla ya kukunja kwenda mawasiliano ukiwa unatokea shekilango, nilipiga lile tuta nikiwa 100kph.Kuna siku nilipiga tuta hadi gari ilipaa juu, ilivyotua nikasema mchezo umeisha huu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Cha kushukuru halikuzingua gari maana kwanza ilikuwa usiku sana na eneo hatarishi
Sasa hivin najipanga kukaa kwenye Caddilac Escallade. Haya magari ni cheap sema usafirishaji na kukomboa TRA ushuru ndio ishu.aiseee hivo ni vyuma hatari
kutokana na uchache wake barabarani ukiona linapita lazima ugeuze shingo kuya tazama
siku moja nipo maeneo ya kibamba barabara ya morogoro kuna kama kamsafara kalikua na gari 4 nikipishana nazo nakumbuka niliona
dude lime andikwa GMC
kulikua na toyota tundra
pamoja na
Cadillac Escalade
zikiwa zime ongozana kwa pamoja
Hizo gari nzuri sana ila hii miundombinu yetu, tunaishia kubaki na gari za juu.Na ilivyo chini utaacha bonnet nyuma
Kwa alipotokea kajitahidi sanaHuenda kachukua la 6 bei itakuwa imepoa kiaina
Hahahaha katisha ila gharama ni zile zile tu! Vx V8 machine gari ya million 200+ sio kitotoKwa alipotokea kajitahidi sana
Juzi tulikuwa tunaongea na mshkaji.Ile njia ilitakiwaga iwe njia tatu au nne kutokea dar hadi morogoro.. ina elemewa kwasababu ndio njia kuu ya kupitisha gari zote za ndani ya nchi na nje ya nchi
Ila naona wabongo wenzetu wana mtima nyongo sana kwa mtoto tandaleHahahaha katisha ila gharama ni zile zile tu! Vx V8 machine gari ya million 200+ sio kitoto
Wakuu wa nchi hii wanajua, sema utelekezaji ndio wanakuwa kama wamepigwa upofu. Fikiri ka njia kale ka chalinze kanapitisha mizigo yote ya kwenda Burundi, Rwanda, Congo, Zambia etc..Juzi tulikuwa tunaongea na mshkaji.
Kulitakiwa kujengwe super highway za kuingia na kutoka nje ya Dar.
Unaingia ubungo unadondokea kibaha au chalinze.
Hata kama ni ya kulipia.
Atleast umeona hilo.Sema lakini pia atleast na bei zao pia zinareflect
Kwanzia hellcats corvettes and mustangs bei zake cheap tofauti na german goodies
American things have power but useless
German have power for use
Good example ...
Porsche
Imevunja record tena juzi the gt2 rs
6:38 secs around nurburgring with just an aero kit tu
Mikitu kama mi viper ina more horsepower lakini hamna kitu
Na nina sikia mtu wa tandale anashusha kabisa na RR ili wazidi kuponda 😀😀😀Hahahaha katisha ila gharama ni zile zile tu! Vx V8 machine gari ya million 200+ sio kitoto