Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ubaya wa gari za marekani.

Engine kubwa, output ndogo.

Yani 6.2l v8 inakupa 420 hp wakati Merc Benz A 45s AMG ana 2l inatoa 421 hp.

Wamarekani wanawezana wenyewe.
Sema lakini pia atleast na bei zao pia zinareflect
Kwanzia hellcats corvettes and mustangs bei zake cheap tofauti na german goodies
American things have power but useless
German have power for use
Good example ...
Porsche
Imevunja record tena juzi the gt2 rs
6:38 secs around nurburgring with just an aero kit tu
Mikitu kama mi viper ina more horsepower lakini hamna kitu
 
Escalade yenye V8 6.2L ni yamoto kuliko hii Land Cruiser japo wamepishana horsepower kidogo sana! Escalade inamwaga 420HP wakati huu umeme wa Mjapani unamwaga 410HP so difference haitakuwa kubwa sana isipokuwa tu kwenye speed escalade ana 280 kwenye kisosi!😅😅😅 huku LandCruiser ana 260!

Ila Escalade ya V6 3.0L ni ya kitoto sana ina 277HP wakat landcruiser ya v6 3.0L inamwaga moto wa 310HP so Land cruiser ataiburuza escalade ya 6.2L
mkuu lilie la simba sio v6 kweli lile
Na kama ni v6 basi nahisi bei pia inashuka so linaweza kua cheaper nn
 
Kuna siku nilipiga tuta hadi gari ilipaa juu, ilivyotua nikasema mchezo umeisha huu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Cha kushukuru halikuzingua gari maana kwanza ilikuwa usiku sana na eneo hatarishi
Pale Sinza Mugabe kabla ya kukunja kwenda mawasiliano ukiwa unatokea shekilango, nilipiga lile tuta nikiwa 100kph.

Nilikuwa sijapita ile njia muda mrefu sana. Hiyo siku napita saa 8 usiku nipo speed nashangaa gari imepaa. Ilivyotua ilibidi nipaki pembeni kama nusu saa nasikilizia shida itajitokeza wapi.

Ile siku sitakaa niisahau.
 
aiseee hivo ni vyuma hatari
kutokana na uchache wake barabarani ukiona linapita lazima ugeuze shingo kuya tazama

siku moja nipo maeneo ya kibamba barabara ya morogoro kuna kama kamsafara kalikua na gari 4 nikipishana nazo nakumbuka niliona
dude lime andikwa GMC
kulikua na toyota tundra
pamoja na
Cadillac Escalade
zikiwa zime ongozana kwa pamoja
Sasa hivin najipanga kukaa kwenye Caddilac Escallade. Haya magari ni cheap sema usafirishaji na kukomboa TRA ushuru ndio ishu.
 
Ile njia ilitakiwaga iwe njia tatu au nne kutokea dar hadi morogoro.. ina elemewa kwasababu ndio njia kuu ya kupitisha gari zote za ndani ya nchi na nje ya nchi
Juzi tulikuwa tunaongea na mshkaji.

Kulitakiwa kujengwe super highway za kuingia na kutoka nje ya Dar.

Unaingia ubungo unadondokea kibaha au chalinze.

Hata kama ni ya kulipia.
 
Juzi tulikuwa tunaongea na mshkaji.

Kulitakiwa kujengwe super highway za kuingia na kutoka nje ya Dar.

Unaingia ubungo unadondokea kibaha au chalinze.

Hata kama ni ya kulipia.
Wakuu wa nchi hii wanajua, sema utelekezaji ndio wanakuwa kama wamepigwa upofu. Fikiri ka njia kale ka chalinze kanapitisha mizigo yote ya kwenda Burundi, Rwanda, Congo, Zambia etc..
 
Sema lakini pia atleast na bei zao pia zinareflect
Kwanzia hellcats corvettes and mustangs bei zake cheap tofauti na german goodies
American things have power but useless
German have power for use
Good example ...
Porsche
Imevunja record tena juzi the gt2 rs
6:38 secs around nurburgring with just an aero kit tu
Mikitu kama mi viper ina more horsepower lakini hamna kitu
Atleast umeona hilo.
 
Back
Top Bottom